Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro wa mpaka wamalizika

MGOGORO wa mpaka kati ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora na Manyoni mkoani Singida uliodumu kwa zaidi ya miaka 30 hatimaye umemalizika kwa majadiliano na maridhiano baina ya pande zote mbili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mgogoro wa mpaka Kenya na Somalia

Serikali ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa (ICJ) kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali haina taarifa mgogoro wa mpaka Pemba’

WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, amesema serikali haijapata taarifa zozote kutoka Kenya kuhusu mgogoro wa mpaka kati ya nchi hiyo na Somalia...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro mpaka wa ardhi Ikorongo watua kwa Lukuvi

Waathirika wa mgogoro wa mpaka kati ya Kijiji cha Park Nyigoti na Pori la Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti Mkoa wa Mara, uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi, wamemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuutatua.

 

11 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA TANZANIA NA MALAWI YAANZA LEO MJINI MAPUTO.

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo. 
Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa Botswana yaliwapa nafasi pande zote mbili kutoa tamko rasmi kabla ya usuluhishi...

 

11 years ago

Michuzi

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea katika mkutano a Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo.  Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mgomo migodini Afrika Kusini wamalizika

Maelfu ya wafanyakazi wa migodi ya dhahabu nyeupe nchini Afrika kusini wamerudi kazini kufuatia makubaliano ya malipo yao.

 

9 years ago

Ykileo

MKUTANO WA WAKUU WA TEHAMA WAMALIZIKA NCHINI KENYA

Kwa mara nyingine CSK kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanikiwa kuandaa mkutano ulio husisha wakuu wa TEHAMA ambapo mambo mbali mbali yalipata kujadiliwa. Katika mkutano huo ambapo Binafsi nilikua  Mwalikwa Rasmi ambapo pamoja na mambo mengine niliweza kutoa mafunzo ya namna ya kufanikisha upelelezi wa kitaalam wa uhalifu mtandao pamoja na hali halisi ya uhalifu mtandao duniani kote.


Aidha, Nilipata pia kuzindua kampeni ya Mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao na kuweza...

 

11 years ago

Michuzi

UPITIAJI RASIMU YA KATIBA YA CLUB YA SIMBA WAMALIZIKA

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari hawapo pichani kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya hatma ya Katiba na uchaguzi wa Klabu hiyo.
Na: Genofeva Matemu
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani