Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgomvi wa mke wa Zuma kurejeshwa nchini

Mtanzania Stephen Ongolo anayekabiliwa na madai ya kutishia kutoa siri za mke wa Rais Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli (MaNtuli), huenda akarudishwa nchini na kuzuiwa kuitembelea Afrika Kusini milele.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mgomvi wa mke wa Zuma atishia kujiua

Akiwa amekaa mahabusu kwa zaidi ya miezi miwili, Mtanzania Steven Ongolo, anayeshikiliwa kwa kutishia kutoa siri za Nompumulelo Zuma (ManTuli), ambaye ni mke wa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, ametishia kujiua akidai anatishiwa kuuawa na haki kutotendeka katika kesi yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume mgomvi aandaliwa mlo wa kondomu

Mwanamke mmoja mwenye watoto watatu katika wilaya ya kole nchini Uganda alimuandalia mumewe mlo wa mipira ya kondomu

 

11 years ago

Tanzania Daima

RADO: Mwili tu huu jamani! Mi’ sio mgomvi

KATI ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kukimbiza katika tasnia ya filamu nchini, Simon Mwapagata ‘Rado’, ni mmoja wao. Mkali huyu ambaye alianza kusota kwenye sanaa ya uimbaji, aligeukia filamu...

 

11 years ago

GPL

WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA

SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya MH 17 kurejeshwa Uholanzi

mabaki ya ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH 17 yaliyookotwa huko mashariki mwa Ukraine hatimaye yanarejeshwa Uholanzi.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI


Na Bashir YAkub
Sura  ya  29  Sheria  ya ndoa  imeeleza  mambo  mengi . Baadhi  yanajulikana  na  baadhi  hayajulikani.  Wakati  mwingine  hata  baadhi  ya yanayojulikana   haijulikani  kama  yameruhusiwa  na  sheria  au  yanafanyika  kimazoea.  Na  hapa  ndipo  inapoibukia  migogoro mingi  ambayo  tunayoshuhudia  mahakamani  na  hata nje  ya  mahakama. Aidha  sheria  hii  imebeba  mambo  mengi  ya  talaka, matunzo  ya  watoto  na  mwanamke, jinai  za  unyanyasaji  wa  kijinsia, ndoa  haramu ...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU-2

HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi kupitia safu hii. Leo ni siku ya wapendanao (valentine‘s day). Ni vyema basi ukaitumia siku hii kutafakari na umpendaye. Kumpa zawadi, kutafuta sehemu tulivu na kujadili uhusiano wenu.Ifanye siku hii kuwa mwanga mzuri wa penzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani