Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGONJWA ALIA: SINA PESA, NAKUFA!

Na Haruni Sanchawa NASIKITISHA, Said Ndangaye Mwilu (57), mkazi wa Kimara Baruti, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam na mwenyeji wa Kilwa, Kijiji cha Kipatima, anaishi katika hali ya mateso makubwa baada ya sehemu ya mwili kuanzia kiunoni hadi miguu kupooza na kuibuka tundu kwenye kalio, magonjwa ambayo amedumu nayo kwa muda mwaka mzima. Said Ndangaye Mwilu akiugulia. Akizungumza na gazeti hili, mzee huyo amesema amekosa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

11 years ago

GPL

JAMANI NAKUFA, NIOKOENI

Stori: Imelda Mtema, Bagamoyo
WANASEMA ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli! Ngaweje Said (39), mkazi wa Kijiji cha Zinga, Bagamoyo, Pwani anateseka na gonjwa asilolijua ambapo nyama kubwa imeota toka juu ya uso upande wa kushoto na kumwagikia kifuani, Uwazi lilikutana naye uso kwa uso. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake kijijini hapo juzi, Ngaweje alisema:
“Ugonjwa huu ulinianza nilipozaliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Msagati: Nakufa nikijiona, Watanzania nisaidieni

Geofrey Msagati (23), ni Fundi Seremala ambaye ndoto za siku moja kufungua kampuni yake zimezimika na wala hajui hatima ya maisha yake kutokana na maradhi yanayomsibu.

 

11 years ago

GPL

‘JAMANI NAKUFA HUKU NAJIONA’!

Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini hapa, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku. Asha Manga anayesumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku. Asha anayeishi na mama yake, Halima Juma baada ya baba yake mzazi, Juma Manga kufariki dunia, amekuwa akitumia muda mwingi kulia na kusema anakufa huku anajiona kufuatia kukosa kiasi cha shilingi...

 

10 years ago

GPL

“BILA NYINYI WATANZANIA, MIMI NAKUFA”

Stori:  Makongoro Oging’
“Hali niliyonayo kiafya kwa sasa ni ya kutia mashaka, sina muda mrefu kuendelea kuishi hapa duniani, nikifikiria ninavyoteseka ndani ya familia yangu nikichanganya na maumivu ya ugonjwa usiopata matibabu, naamini bila msaada wenu nitafariki dunia.” Hajira Twalib Mdoka akiwa mwenye maumivu makali baada ya kuugua ugonjwa wa kansa. Hivyo ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Hajira...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

10 years ago

Bongo5

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi pesa kwa pesa

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameanza rasmi kampeni akiwa Mkoa wa Katavi na kuahidi kuacha kuwakopa wakulima mazao akisema atatumia mtindo wa “pesa kwa pesa”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani