Msagati: Nakufa nikijiona, Watanzania nisaidieni
Geofrey Msagati (23), ni Fundi Seremala ambaye ndoto za siku moja kufungua kampuni yake zimezimika na wala hajui hatima ya maisha yake kutokana na maradhi yanayomsibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 May
Nimeteseka miaka 17, Watanzania nisaidieni
Kijana Amos Ng’arare Sasi (21) mkazi wa kijiji cha Kizaru wilayani Musoma Vijijni amepoteza mwelekeo wa maisha baada ya ndoto yake ya kusoma hadi chuo kikuu kuishia njiani kutokana na matatizo ya ugomjwa wa ajabu ambao umemtesa kwa kipindi cha miaka 17.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pIkfjCrlATFCJLwTcqU5EYY8vCOs4EpUI9jmILyrq*yzhRqB5I5wwRfajMrICWPzvzVdgx95MPIw0EQ6QFu0Rce/nyinyo.gif)
“BILA NYINYI WATANZANIA, MIMI NAKUFA”
Stori: Makongoro Oging’
“Hali niliyonayo kiafya kwa sasa ni ya kutia mashaka, sina muda mrefu kuendelea kuishi hapa duniani, nikifikiria ninavyoteseka ndani ya familia yangu nikichanganya na maumivu ya ugonjwa usiopata matibabu, naamini bila msaada wenu nitafariki dunia.†Hajira Twalib Mdoka akiwa mwenye maumivu makali baada ya kuugua ugonjwa wa kansa. Hivyo ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Hajira...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Titi limetoboka, nisaidieni
Ni saa kumi jioni napandisha kilima kurejea mahali ninapoishi nikitokea Hospitali ya wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, kitengo cha akina mama wanaosubiri kujifungua, nafika katika Mtaa wa Chemchem nasikia nikiitwa, nilipogeuka nikakutana na mzee aliyejitambulisha kwa jina la Azidini.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVeLtFwDiTrtyMxT9rhsNWn9A*jHwVd6F1EZ3PwxgmL0xIASm-lgUT0F*bO37r6ZasXHalyCjk*GOSpQezIVpMf2/kijana.jpg?width=650)
JAMANI NAKUFA, NIOKOENI
Stori: Imelda Mtema, Bagamoyo
WANASEMA ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli! Ngaweje Said (39), mkazi wa Kijiji cha Zinga, Bagamoyo, Pwani anateseka na gonjwa asilolijua ambapo nyama kubwa imeota toka juu ya uso upande wa kushoto na kumwagikia kifuani, Uwazi lilikutana naye uso kwa uso. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake kijijini hapo juzi, Ngaweje alisema:
“Ugonjwa huu ulinianza nilipozaliwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2C0pPmZLjzNZ3IrseuvQW8KVzTDAeaEWyLMvt8B7GdTC7jpAN2Fl04GMcPb6AZHR*pzA2V4rDnwlPwzA5tdBqZ/PICHAYAKIJANA.jpg?width=650)
WANANCHI NISAIDIENI MWENZENU
Ndugu Peter Mashiku anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu kutokana na pete alizokuwa amejaa
Ndugu Peter Mashiku mkazi wa Mwatulole mjini hapa anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu, sasa (kama anavyoonekana pichani) Hali hiyo imesababisha bwana mashiku aishi kwenye mazingira magumu kutokana na familia yake kumtenga baada...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4Toy5Hyoh2eijHK2Xi0YVDjOMomSPgwZaBmiJN-Gb1OvVLf1Lhg5XsmNq3imPOZaQZ9SJjRT2v96z0TbuVUnp7hY/Avunjika.gif?width=650)
MGONJWA ALIA: SINA PESA, NAKUFA!
Na Haruni Sanchawa NASIKITISHA, Said Ndangaye Mwilu (57), mkazi wa Kimara Baruti, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam na mwenyeji wa Kilwa, Kijiji cha Kipatima, anaishi katika hali ya mateso makubwa baada ya sehemu ya mwili kuanzia kiunoni hadi miguu kupooza na kuibuka tundu kwenye kalio, magonjwa ambayo amedumu nayo kwa muda mwaka mzima. Said Ndangaye Mwilu akiugulia. Akizungumza na gazeti hili, mzee huyo amesema amekosa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwkWuv1hDH5YFIa1Wq90XhaFPMwMfn*YB6*6Eyj2le3nIt-Dp1PClsEL5JIfOLgKsXMcbFA6aPnsAG1F9NKS6dGw/uvimba.jpg?width=650)
‘JAMANI NAKUFA HUKU NAJIONA’!
Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini hapa, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku. Asha Manga anayesumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku. Asha anayeishi na mama yake, Halima Juma baada ya baba yake mzazi, Juma Manga kufariki dunia, amekuwa akitumia muda mwingi kulia na kusema anakufa huku anajiona kufuatia kukosa kiasi cha shilingi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaKbPBIekOqTykBdW98cq*yXV7hol7wMo9XPb7q-Gk7RoX8FvGHv00nhFwVLDpa7lM1Tb1ySd0FtdYnP2rF1R93G/Mtoto.jpg?width=640)
MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE
Na Makongoro Oging’ “Nisaidieni mwanangu awe kama watoto wengine,†ni maneno ya mama mzazi wa mtoto Azimina Abdallah (miezi 11), mkazi wa Zanzibar, Unguja anayeishi kwa mateso na maumivu makali kutokana na jicho kuvimba tangu azaliwe. Kwa sasa mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Amina Mbaruku anahangaika naye huku baba yake akidaiwa kutoonekani kwa muda mrefu, hivyo kuchukua uamuzi wa kuiomba jamii imsaidie....
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
![](https://www.rafikifoundation.org/CMS/Images/tanzaniamap.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania