Migiro, mtoto wa chifu asiyetambulika kwao
Asha - Rose Shaban Mtengeti Migiro ni miongoni mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliochukua fomu kwa ajili ya kuomba kuteuliwa na chama hicho tawala kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila


CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Mtoto awa mfungwa nyumbani kwao
Mtoto mdogo wa miaka mitano afungiwa chumba cha chini nyumbani kwao,aachwa afe njaa
11 years ago
Habarileo06 Sep
Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi
MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...
10 years ago
Vijimambo
SHILOLE KIUNO AJIPA JUKUMU LA KUMLEA MTOTO MDOGO ALIYEKIMBIA KWAO KUOLEWA!

Muimbaji wa ‘Namchukua’ Shilole, ameamua kumchukua binti aitwaye Pendo baada ya kutoroka nyumbani kwao Morogoro akikimbia kuozeshwa kwa lazima. Shilole ameposti picha Instagram na kuandika:Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na @dahuucloudsfm milipata kuskia story ya huyo bint hapo kwenye picha! Kuwa ametoroka kwao tanga kuja dar kwA sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora...
10 years ago
Vijimambo
MDAU WA VIJIMAMBO AKIWA KIJIJI KWAO MKATAA KWAO MTUMWA


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania