Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIKE: TAFF HAWAKUNITENDEA HAKI

Stori: Hamida Hassan
STAA wa filamu Bongo, Mike Sangu, amefungukia ishu nzima ya kuvuliwa cheo cha Uenyekiti wa Vijana Taifa chini ya Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff) na kusema shirikisho hilo halikumtendea haki. Staa wa filamu Bongo, Mike Sangu, Mike alisema hayo alipozungumza na Risasi Jumamosi, ambapo alisema alishangaa kuona anavuliwa cheo baada ya kujiunga na Klabu ya Bongo Movie Unity akitokea Taff kitu ambacho si...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MIKE AIKACHA TAFF, AJIUNGA BONGO MOVIE

Na Gladness Mallya MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’ amejiuzulu ujumbe wa Bodi ya Shirikisho la Filamu (TAFF) na kujiunga rasmi na Klabu ya Bongo Movie. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’. Akizungumza na paparazi wetu, Mike alisema amefikiri kwa kina na kuona bora ajiengue katika Taff na badala yake aelekeze nguvu zake katika Klabu ya Bongo Movie ambayo anaamini kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAFF yawapongeza wasanii Hamadombe

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba, amewapongeza wasanii wa kundi la sanaa za maigizo la Hamadombe la jijini Dar es Salaam, kwa juhudi zao za kuuza kazi...

 

11 years ago

GPL

TAFF, BONGO MUVI, NANI ALIYEWAROGA?

KWENU,
Uongozi wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) na Klabu ya Bongo Movie Unity ‘Bongo Muvi’. Bila shaka ni wazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama kabisa. Kuna jambo nahitaji kuwashauri maana naona kama msipoliweka sawa, hali inaweza kuwa mbaya na mkaibomoa sanaa yenu kwa mikono yenu wenyewe. Kuna kipindi fulani huko nyuma niliwahi kusikia mgogoro wa chinichini kati yenu. Hoja hasa za tofauti...

 

9 years ago

Global Publishers

Bongo Muvi, Taff wamaliza tofauti zao

MwakifwambaSimon Mwakifwamba.

HAMIDA HASSAN

BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘Taffff ’ limeyeyuka baada ya viongozi wa pande zote mbili kukutana na kuona kuna ulazima wa kuwa kitu kimoja.

Taarifa za pande hizo mbili kumaliza tofauti zao zilitua kwenye dawati la gazeti hili na kuthibitishwa na Rais wa Taff , Simon Mwakifwamba ambaye alisema wameona  aufanyie kazi msemo usemao Umoja ni Nguvu wakiamini wakiwa wamoja wanaweza...

 

11 years ago

Mwananchi

Harakati za TAFF kuhusu Sera za Filamu na Miliki Bunifu

>Japo sekta ya filamu nchini ni sekta tajiri sana, lakini imekuwa haipewi kipaumbele na Serikali ingawa haiepukiki kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache sana zenye maeneo mazuri ya kuvutia yanayofaa kabisa kwa kutengenezea filamu.

 

9 years ago

Michuzi

WAZEE TAFF WAMWOMBA WAKIFAMBA AGOMBEE TENA NAFASI YA URAS


Msemaji wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Ahmed Olotu (mzee Chilo) akisoma waraka wa kupinga uamuzi wa Rais wa Shirikisho hilo Simon Mwakifwamba kwa kutogombea tena nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO). Kushoto ni Mzee Ramadhani Ditopile.  Mzee wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Hamisi Kagaye (kushoto) akichangia mada wakati wa kupinga uamuzi wa Rais wa Shirikisho hilo Bwana Simon Mwakifwamba...

 

9 years ago

Bongo5

TAFF yaeleza walipoishia katika kuandaa sera mpya ya filamu na miliki bunifu

Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba

Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba ameeleza walipoishia katika juhudi za kuandaa sera mpya ya filamu pamoja na miliki bunifu.
Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba

Amesema hayo baada ya baadhi ya wadau ndani ya tasnia ya filamu kudai shirikisho hilo halijafanya chochote kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya filamu.

Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mwakifanya aliandika: TAFF pamoja na vyama vyake wamefanya jitihada kubwa sana ambazo serikali ingezitekeleza nasema tungekuwa na mfumo nzuri sana wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA

tasnia

TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA

WASANII Wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood leo tarehe 16Th December, 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari ya Maelezo wametoa tamko lao kuhusu kumtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba kugombea nafasi hiyo ambayo alitangaza kutoshiriki kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kijacho uchaguzi huo mwezi huu 2015.

Baada ya salamu hizo kwenu tumekuja hapa kwa tukiwa na ya...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu, Shirikianeni na TCRA Upatikanaji wa Haki za Mtandao-Waziri Kombo

 Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mahamoud Thabit Kombo akizungumza katika kikao na ujumbe wa juu wa  watendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (kushoto), Watendaji Wakuu wa Wizara hiyo(kulia), pamoja na waandishi wa habari katika ziara ya tume hiyo iliyofanyika Zanzibar.   Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (wa pili kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani