Milipuko miwili yatikisa Mugadishu
Magari mawili yamelipuka nje ya hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuwaua watu 10
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Maandamano na milipuko yatikisa Congo Brazzaville
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Milipuko yatikisa mji wa Cairo, Misri
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Milipuko miwili yaitikisa Cairo
11 years ago
IPPmedia24 Feb
Milipuko miwili ya mabomu yaitikisa Zanzibar
IPPmedia
IPPmedia
Milipuko miwili imetokea leo Zanzibar maeneo tofauti na kuzua hofu, mmoja katika Hoteli ya Kitalii ya Mercury iliyopo eneo la Forodhani na kwenye lango la kanisa Kuu la Anglikana eneo la Mkunazini. Home » Editorial ...
11 years ago
BBCSwahili16 May
Milipuko miwili yatokea,Gikomba, Nairobi
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Milipuko miwili yakumba mji moja Nigeria
10 years ago
Mtanzania16 Apr
10 wakamatwa na milipuko msikitini
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linawashikilia watu 10 waliokamatwa msikitini wakiwa na vifaa mbalimbali, ikiwamo milipuko 30, sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na bendera nyeusi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo lilitokea Aprili 14, mwaka huu saa 3.30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero, Tarafa ya Kidadu wilayani Kilombero.
Kamanda Paul alisema watu hao...
10 years ago
Habarileo02 Sep
Mrundi akamatwa na milipuko
RAIA wa Burundi amekamatwa mkoani Morogoro akituhumiwa kukutwa na vifaa vya milipuko na vyombo vingine vya kufanyia uhalifu.
11 years ago
BBCSwahili24 Feb