Minara ya simu sababu ya raia kunyanyaswa Kagera
Mapato yanayotokana na ujenzi wa minara ya simu, yanadaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kunyanyaswa kwa wakazi 41 wa Kijiji cha Murongo, wilayani Kyerwa katika Mkoa wa Kagera.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jul
Minara ya simu yaundiwa sheria
BUNGE limeelezwa kuwa, Serikali imetunga kanuni mpya za kudhibiti mitetemo na kelele za minara ya simu iliyo katika maeneo ya watu, kwa lengo la kuwafanya wahusika wa minara hiyo wawajibike kufanya jitihada kuzizuia.
11 years ago
Habarileo04 Jul
Minara ya simu kuondolewa kwenye makazi
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema linaanza kupitia miradi mbalimbali, ikiwemo minara ya mawasiliano ya simu iliyojengwa kwenye makazi ya watu.
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Serikali yasaka fedha kujenga minara ya simu
SERIKALI imesema imeamua kutafuta fedha na kujenga minara yenyewe badala ya kuzitegemea kampuni za simu. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema wizara...
5 years ago
MichuziNDITIYE AZINDUA KAMPENI YA UPANDIKIZAJI MINARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (wapili kushoto), Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambae pia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba (wakwanza kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),Waziri Kindamba wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Minara wenye lengo la kufikisha...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Sh221bilioni kujenga minara 787 Tigo
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampuni ya Tigo yazindua minara Mkoani Geita
Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa(aliyevaa suti)akikata utepe kuzindua mnara mpya wa mtandao wa Tigo katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe Mkoani Geita.
Meneja Masoko wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mashauri (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa,alipofika kuzindua mnara mpya katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa,akiongozana na wananchi kuondoka baada ya kuzindua mnara wa Tigo katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani...
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Wauguzi wa Ebola hawafai kunyanyaswa
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Viongozi wa ukoo wakerwa Graca kunyanyaswa
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Wapenzi wa jinsia moja wadai kunyanyaswa