Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIRANDA AMKUMBUKA BIEBER

New York, Marekani ALIYEWAHI kuwa mpenzi wa staa wa Pop, Justin Bieber, Miranda Kerr juzi kati katika kusherehekea kuwakumbuka wafu/mizimu (Halloween) ameibuka na kuachia video ya kumkumbuka Bieber. Aliyewahi kuwa mpenzi wa staa wa Pop, Justin Bieber, Miranda Kerr. Katika video hiyo aliyoiachia katika mitandao ya kijamii, ilimuonesha Kerr (32) akicheza Wimbo wa Where Are U Now ulioimbwa na Bieber (21).Video hiyo imeanza kuibua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAN U KUMNASA MIRANDA

Beki wa Atletico Madrid, Miranda(kushoto) akiwania mpira na Cristiano Ronaldo. Man United wapo mbioni kumnasa beki wa Atletico Madrid, Miranda kwa ada ya pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 kwa mkataba wa miaka…

 

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

No, Miranda Lambert Is Not Getting Pregnant to Seek Revenge on Blake Shelton

No, Miranda Lambert Is Not Getting Pregnant to Seek Revenge on Blake Shelton  Showbiz Cheat SheetMiranda Lambert Flaunts Her Curves In A Denim Mini Skirt  The InquisitrView Full coverage on Google News

 

11 years ago

BBCSwahili

Makaziwe amkumbuka Komla

Makaziwe Mandela alikuwa mmoja wa watu wa mwisho ambao mwandishi wa BBC Komla Dumor aliwahoji kabla ya kifo chake. Anamkumbuka vipi Komla?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wastara amkumbuka Sajuki

MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...

 

9 years ago

Mtanzania

Nick Gordon amkumbuka Kristina

Gordon na KristinaGOEGIA, Marekani

IKIWA ni wiki ya pili tangu kuzikwa kwa Kristina Brown, aliyekuwa mpenzi wake, Nick Gordon, ameibuka na kutangaza kuendelea kumpenda mpenzi wake huyo.

Gordon alizuiwa kumzika mpenzi wake huyo na familia ya Kristina kutokana na kumtuhumu kuhusika na kifo cha Kristina.

“Najua siwezi kukuona tena duniani, lakini acha niseme kuwa nitaendelea kukupenda maishani mwangu, siwezi kusahau umoja wetu wakati upo hai, lakini najua utakuwa umetangulia mbele za haki.

“Kuna wakati nacheka...

 

10 years ago

Mtanzania

Daz Baba amkumbuka Mwangwea

mangweaNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, David Jacob ‘Daz Baba’, amesema video yake mpya itakayofahamika kama ‘Mzigo Viwanjani’ ni kumbukumbu tosha ya marehemu Albert Mangwea.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Daz baba alisema aliweza kumshirikisha Mangwea katika single ya wimbo huo.
“Tulifanya mambo mengi sana na Mangwea, hivyo video hii imekuwa kumbukumbu kwangu,” alisema Daz Baba.
Alisema video hiyo inafanywa chini ya mtayarishaji Lamar, inatarajiwa kukamilika muda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa BBC amkumbuka Mandela

Nelson Mandela alipostaafu mwaka 2004,Mwandishi wa BBC Richard Hamilton alikuwa ripota mjini Cape Town na hivi ndivyo anamkumbuka Mandela

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!

Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma”  yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.

Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT  post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Slaa amkumbuka Jaji Joseph Warioba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, juzi aliikumbuka Rasimu ya Katiba Iliyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji Joseph Warioba, akisema kinachoendelea bungeni ni vita kati ya uadilifu na ufisadi.

Akizungumza katika kongamano la Wazee wa Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema: “Wenzetu walikataa Rasimu ya Katiba ya Warioba iliyopendekeza misingi ya uadilifu nchini kwa kuweka uovu katika mikataba. Ilitupasa tutambue kuwa ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani