Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISA YA SHUKRANI

Familia ya Kanali Mstaafu Burchard Mushumbusi, inatoa shukrani za dhati kwa  ndugu, jamaa, marafiki na majirani wote walioshiriki nasi kwa hali na mali katika msiba wa mpendwa wetu Bi. Candida K Mushumbusi aliyefariki tarehe 24 Julai 2015 katika hospitali ya Apollo, New Delhi India na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 28 Julai 2015 hapa Dar es salaam.


Familia pia inatoa shukrani za dhati kwa Paroko na Mapadre wa Parokia ya Mt. Nicolaus, Kunduchi  Mtongani; Uongozi na jumuiya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA SHUKRANI JIJINI DAR‏

Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100), aliyeaga dunia Ijumaa ya tarehe 17 January,2014 katika hospitali ya Mount Ukombozi na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 19 January, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Familia ya Mzee Arnold Kambonapani...

 

11 years ago

GPL

SHUKRANI



Ndugu Max Edmund Kafipa wa Ununio Bahari Beach jijini Dar es Salaam inapenda kutoa shukrani kwa ndugu, jamaa, marafiki wote na wakazi wa Ununio walioshirikiana nae katika msiba hadi mazishi ya mke wake mpendwa  Sophia Uledi Kafipa (pichani) aliyefariki dunia kwa ajali ya gari tarehe 10/01/2014 na kuzikwa tarehe 13/01/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Mungu… ...

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKRANI ZA DHATI !.


WANADIASPORA  WAKIWA MSTARI WA MBELE KUANGALIA AFYA  ZA JAMII

WATOTO WA SHULE YA MSINGI WAKIJITOLEA ILI KUPATA  MASAA  75 YA HUDUMA KWA JAMII KAMA DESTURI KABLA YA  KUFUZU ELIMU YA SEKONDARI  NCHINI MAREKANI 

SURVIVOR WA SHAMBULIZI LA MOYO AKIZUNGUMZA  NA JAMII

DADA ASHA HARRIZ AKITEMBELEA HUDUMA MBALI MBALI
 WASHIRIKI WALIPATA ZAWADI MBALI MBALI



Shukrani;NesiWangu blogspot.com

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA SHUKRANI

Familia ya Bwana na Bibi Charles Yanga wa Tabata Chang'ombe, Dar es salaam, wanapenda kutoa shukurani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote walioshirikiana nao katika mazishi ya mtoto wao mpendwa Abel Charles Yanga aliyefariki tarehe 22 July 2015 na kuzikwa tarehe 25 July 2015 katika makaburi ya Kinondoni, Dar es salaam. Familia inakukaribisha kwenye Misa ya shukurani Jumamosi tarehe 12 Sep. 2015 saa  5.00 asubuhi nyumbani Tabata Chang'ombe. Baada ya Misa tutashirikiana chakula...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Tamasha la shukrani Novemba 25

Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amesema utulivu na amani iliyoonekana kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu imewafanya kuandaa tamasha la kumshukuru Mungu linalotarajiwa kufanyika Novemba 25 jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

SHUKRANI FAMILIA YA MCHECHU

New PictureFamilia ya marehemu Dr. John Edward Mchechu wa Ukonga Dar es salaam wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nao na kuwafariji kwa hali na mali katika kumuuguza na mpaka kumlaza katika nyumba ya milele mpendwa baba yao Dr. John Edward Mchechu aliyefariki tarehe 21/07/2015 nyumbani kwake Ukonga na kuzikwa tarehe 26/07/2015 Muheza, Tanga.Shukrani za pekee zimfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. JakayaMrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk....

 

9 years ago

Michuzi

Shukrani na Taarifa ya Arobaini

Familia ya marehemu Mwalimu Ngore N. Kondo wa Chang’ombe, DSM tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nasi kwa kutufariji kwa hali na mali katika kumuuguza mpaka kumzika baba yetu mpendwa aliyefariki tarehe 28 Nov katika hospitali ya Regency na kuzikwa tarehe 29 Nov 2015 Chamazi, DSM.
  Shukrani za pekee ziwafikie Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wa hospitali za Hindu Mandal na Regency za hapa DSM. Pia shukrani ziwafikie Uongozi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani