Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shukrani na Taarifa ya Arobaini

Familia ya marehemu Mwalimu Ngore N. Kondo wa Chang’ombe, DSM tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nasi kwa kutufariji kwa hali na mali katika kumuuguza mpaka kumzika baba yetu mpendwa aliyefariki tarehe 28 Nov katika hospitali ya Regency na kuzikwa tarehe 29 Nov 2015 Chamazi, DSM.
  Shukrani za pekee ziwafikie Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wa hospitali za Hindu Mandal na Regency za hapa DSM. Pia shukrani ziwafikie Uongozi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA IBADA TAKATIFU YA KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU ANDREA CONSTANTINE LUPILYA

FAMILIA YA MAREHEMU ANDREA CONSTANTINE LUPILYA INAPENDA KUWAJULISHA NDUGU JAMAA NA MARIFIKI KUWA TAREHE 28/12/2014 SIKU YA JUMAPILI KUTAFANYIKA  IBADA TAKATIFU  YA KISOMO CHA AROBAINI  TOKA KUFARIKI KWA BABA YETU  MPENDWA ANDREA CONSTANTINE LUPILYA KUANZIA SAA TANO ASUBHUHI NYUMBANI KWAKE NYAKATO – MJINI MWANZA. 
AIDHA, IBADA HII ITAJUMUISHA IBADA TAKATIFU YA KUMUOMBEA MTOTO WA MAREHEMU BWANA ANTHONY LUPILYA ALIYEFARIKI LEO TAREHE 25/12/2014.
FAMILIA YA MAREHEMU KWA HESHIMA KUBWA...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)

MAREHEMU IRAKI HUDU (RIP)
Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam .
Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa kufuturisha na kisomo.
Kwa heshima na taazima...

 

11 years ago

Michuzi

AROBAINI YA ZAINABU BUZOHERA DMV

Mume wa marehemu Zainabu Buzohera,Bw. Dullah akiwa katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu,Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwaongoza Watanzania kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wetu Zainab Buzohera aliyefariki Jan 4, 2014 kwenye hosipitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham,...

 

9 years ago

GPL

PENNY AGOMEA AROBAINI YA TIFFAH

Imelda Mtema Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa hata akialikwa kwenye sherehe ya arobaini ya mtoto wa ‘x’ wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Tiffah hawezi kwenda pamoja na ushkaji wao kwa sababu mpenzi wake wa sasa hawezi kumruhusu.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MSdrLh

 

11 years ago

Michuzi

AROBAINI YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV

Zainab Buzohera enzi ya uhai wake
Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd,  Hyattsville, MD 20783. Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili kufanikisha siku hii ambayo ilianzia saa, siku, wiki, mwezi na siku 10...

 

9 years ago

Mtanzania

Kabla ya arobaini, Bobby Brown afanya shoo

150214-news-bobby-brownNA BADI MCHOMOLO

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Bobby Brown, juzi alipanda jukwaani na kufanya onyesho la kwanza tangu kifo cha mtoto wake, Kristina kilichotokea Julai mwaka huu.

Kristina alizikwa Agosti 3 mwaka huu, hivyo siku 23 tu zimepita amefanya onyesho huku akiwashukuru waliohudhuria onyesho hilo.

“Nawashukuru sana kwa uwepo wenu siku ya leo, pia nawashukuru wale wote mliomuombea mwanangu wakati alipokuwa akiugua,” alieleza Brown.

Hata hivyo, wakati baba huyo akitumbuiza,...

 

10 years ago

Vijimambo

AROBAINI YA MAREHEMU MZEE ABASS KHALFAN MANG'ULO:

Asalaam aleikum, Kwa niaba ya familia nzima ya Mang'ulo na binti ya marehemu Swalha Kibodya, tunapenda kuwapa taarifa kutakuwa na kisomo cha Arobaini kumrehemu mzee wetu Abass Khalfan Mang'ulo Kisomo hicho kitafanyika siku ya Jumamosi August 22, 2015 katika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Mass kuanzia saa 10 jioni. Ukipata taarifa hii tafadhali wafikishie na wengine. Tunatanguliza shukran. Kwa habari zaidi unaweza kuwasiliana na Isaac Kibodya 413.219.1153

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAPOKEA SH.MILIONI AROBAINI ILI KUKABILIANA NA CORONA

     SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendelea kupokea Michango mbali mbali ya Fedha Taslim jumla ya Shilingi Milioni sabini {70,000,000/-} zilizotolewa na Taasisi tofauti Nchini kwa ajili ya kusaidia nguvu za Serikali katika Mapambano yake dhidi ya kupiga vita kuenea kwa Virusi vya Corona Nchini.
Michango hiyo imetolewa na Uongozi wa Benki ya NMB iliyokabidhi Shilingi Milioni 30,000,000/-, Benki ya Maendeleo Vijijini {CRDB} Shilingi Milioni 30,000,000/- pamoja na Uongozi wa Bodi ya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii wa Fiesta wahudhuria arobaini ya Mama Tunda Moro

Wasanii walioenda Morogoro kwaajili ya Fiesta, Jumapili hii mchana walienda nyumbani kwa Afande Sele mjini humo kuhudhuria arobaini ya aliyekuwa mke wake, Mama Tunda na kumpa pole. Hizi ni picha zao. Afande Sele akiongea na wasanii na kuwashukuru kwa kufika katika arobaini ya Mama Tunda Afande Sele akiwa na watoto wake, mkubwa anaitwa Tunda na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani