Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENNY AGOMEA AROBAINI YA TIFFAH

Imelda Mtema Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa hata akialikwa kwenye sherehe ya arobaini ya mtoto wa ‘x’ wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Tiffah hawezi kwenda pamoja na ushkaji wao kwa sababu mpenzi wake wa sasa hawezi kumruhusu.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MSdrLh

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msajili agomea mabadiliko Chadema

>Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema haitambui kuondolewa kwa kipengele cha ukomo wa uongozi uliofanywa na Chadema bila kufuata idhini ya mkutano mkuu wa chama hicho.

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm agomea mechi Yanga

JO6A1062NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, raia wa Uholanzi, amegoma kucheza mechi za kirafiki kwa ajili ya kujipima nguvu hadi nyota wake watakaporejea kutoka kwenye timu zao za Taifa ambazo wamekwenda kuzichezea.

Kocha huyo, ambaye hajafungwa mechi hata moja ya kirafiki, inawezekana hataki kuivuruga rekodi hiyo kutokana na kuwakosa nyota hao, ambao wamekuwa chachu ya ushindi kwenye kikosi hicho ambacho kilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania msimu...

 

9 years ago

Mtanzania

Kibadeni agomea mkataba JKT Ruvu

kibadeniNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KOCHA wa JKT Ruvu, Abdallah Kibadeni, amesema hafikirii kuingia mkataba na klabu hiyo kabla ya kuwaandaa wachezaji na kupata kikosi bora cha kwanza kitakacholeta ushindani katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kibadeni ambaye amewahi kuifundisha Simba na mshauri wa benchi la ufundi la timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa sasa, aliitwa kuinusuru timu hiyo na matokeo mabaya baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa kocha mkuu, Felix...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzindakaya agomea ombi la RC mbele ya Pinda

>Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amekataa hadharani mbele Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ombi la Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya kumsamehe Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), Aeshi Hilaly.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho agomea wanahabari baada ya kushindwa

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alikataa kuzungumza na wanahabari baada ya timu yake kushindwa 2-1 ugenini West Ham.

 

10 years ago

GPL

WEMA AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI

Imelda mtema
KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili. Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Shukrani na Taarifa ya Arobaini

Familia ya marehemu Mwalimu Ngore N. Kondo wa Chang’ombe, DSM tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki walioshirikiana nasi kwa kutufariji kwa hali na mali katika kumuuguza mpaka kumzika baba yetu mpendwa aliyefariki tarehe 28 Nov katika hospitali ya Regency na kuzikwa tarehe 29 Nov 2015 Chamazi, DSM.
  Shukrani za pekee ziwafikie Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wa hospitali za Hindu Mandal na Regency za hapa DSM. Pia shukrani ziwafikie Uongozi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC

Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Azam FC, Joseph Omog amewasilisha maombi matatu kwa uongozi wa timu hiyo yanayotakiwa kufanywa kwa haraka huku akisema hataki kambi ya nje ya nchi.

 

9 years ago

Vijimambo

Wasira agomea matokeo yaliyompa ushindi Bulaya

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amesema hakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, Lucy Msoffe, kwa kumpa ushindi wa ubunge Esther Bulaya, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza juzi jioni, Wasira alisema matokeo ya ubunge yalichakachuliwa kutokana na uhesabuji kura kutofuata utaratibu.

Wasira alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani