Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjengwa; Kiongozi mstaafu anayefuga na kulima

>Ni siku tulivu ambayo jua linawaka katika Bonde la Usangu lililopo Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya ambapo nawasili nyumbani kwa Ofisa Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania  ambaye pia alikuwa mwanasiasa na sasa amegeuka kuwa mfugaji  katika pori kubwa  analomiliki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala ulioongozwa na Mjengwa; Cleopa Msuya na dhana ya maadili ya kiongozi urais 2015, sikiliza hapa

DSC_2797

Waziri mkuu Mstaafu Cleopa Msuya.

Kusikiliza mjadala huo ulioongozwa na Maggid Mjengwa kupitia kipindi cha “Soko la habari la Kariakoo” unaweza kubofya hapa

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

5 years ago

CCM Blog

MWANAHABARI MWAIKENDA USO KWA USO NA KATIBU MKUU KIONGOZI MSTAAFU LUHANJO KIJIJINI LAMWATI

Mwandishi wa habari mkongwe, Richard Mwaikenda (kulia0 nikiwa na Katibu Mkuu Kiongozi wa Awamu ya Nne, Philemon Luhanjo nilipopita kumsalimia nyumbani kwake Lamwati, Kijiji cha Madeke, Kata ya Lupembe, Njombe Vijijini juzi.

Nilipita eneo hilo nikiwa katika harakati za kutafuta fursa za kilimo cha zao la Parachichi linalostawi vilivyo mkoani Njombe. Luhanjo ni miongoni mwa wakulima wazuri wa zao hilo.


 

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya Mjengwa Blog kutokuwa hewani

mjengwablog11

Ndugu zangu,

Kutokana na sababu za kiufundi ikiwamo marekebisho muhimu, blogu yako ya kijamii, Mjengwablog.com haiko hewani kuanzia jana jioni. Wataalam wanalishughuIikia tatizo na Mjengwablog itarudi tena hewani kabla ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki. Hata hivyo, KwanzaJamii Radio iko hewani kama kawaida, sikiliza live…http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio

Poleni kwa usumbufu.

Maggid Mjengwa,

Mwenyekiti Mtendaji

IkoloMedia

Iringa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kurushwa Mjengwa Blog

KIPINDI cha ‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kimezindulia na mtandao wa kijamii wa  Mjengwa Blog ambacho kitakuwa kikirushwa na Redio Kwanza Jamii. Akizungumza na Tanzania Daima Dar es Salaam jana Mkurugenzi...

 

11 years ago

Michuzi

Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Maggid Mjengwa
Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MJENGWA KUUNGANISHA WATANZANIA WAISHIO NJE NA NDANI YA NCHI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWATANZANIA walioko Ughaibuni wanatakiwa kuelezwa vitu ambavyo vitawafanya watanzania nchini kutambua umuhimu wa watu katika masuala mbalimbali ikiwemo uchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari  Maelezo  jijini , Dar es Salaam, Mratibu wa Watu Waishio Ughaibuni (Diaspora),Maggid  Mjengwa amesema kutokana na kutambua uwepo watu milioni mbili wako  nje nchi ambao wanatakiwa kushirikishwa katika masuala mbalilmbali yanayoendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani