Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya Mjengwa Blog kutokuwa hewani

mjengwablog11

Ndugu zangu,

Kutokana na sababu za kiufundi ikiwamo marekebisho muhimu, blogu yako ya kijamii, Mjengwablog.com haiko hewani kuanzia jana jioni. Wataalam wanalishughuIikia tatizo na Mjengwablog itarudi tena hewani kabla ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki. Hata hivyo, KwanzaJamii Radio iko hewani kama kawaida, sikiliza live…http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio

Poleni kwa usumbufu.

Maggid Mjengwa,

Mwenyekiti Mtendaji

IkoloMedia

Iringa.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MODEWJI BLOG INAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI


Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii  kwa taarifa zaidihttps://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.
There has been an undergoing DDOS attach on the server https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack. We...

 

11 years ago

Michuzi

KUNRADHI YA MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI

NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA.
WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA KAZI KATIKA KILA DAKIKA KUHAKIKISHA HITILAFU HIYO INAREKEBISHWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
KWA SASA UNAWEZA KUENDELEA KUTUPATA KWENYE URSTREAM KWANZAJAMII RADIO, WEBSITE KWANZAJAMII.COM, FACEBOOK: KWANZAJAMII RADIO FANS
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI,
MAGGID...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kurushwa Mjengwa Blog

KIPINDI cha ‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kimezindulia na mtandao wa kijamii wa  Mjengwa Blog ambacho kitakuwa kikirushwa na Redio Kwanza Jamii. Akizungumza na Tanzania Daima Dar es Salaam jana Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Blog mpya ya siasa iko hewani

Untitled-1 copy

KWA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOHUSU MASUALA YA SIASA ZIKIWEMO HABARI MAKALA FUPIFUPI, VITUKO, KUJIFAGILIA NA UWAJIBIKAJI WA WANASIASA KWA JAMII TEMBELEA www.politikstz.blogspot.com ILI UPATE KUJUA, KUELIMIKA NA KUBURUDIKA. PIA UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI, MATUKIO YA PICHA NA MAKALA FUPIFUPI LAKINI ZISIWE HABARI ZA KUCHAFUA HALI YA HEWA AMA KUMCHAFUA MTU TUTUMIE KWA EMAIL HII .politikstz@gmail.comTUTASHUKURU KWA USHIRIKIANO WENU.

 

10 years ago

Vijimambo

MODEWJI BLOG YARUDI HEWANI BAADA YA KWIKWI YA MASAA 45

modewjiblog logoBaada ya kwikwi ya saa takribani 48 wataalamu wa Modewji blog wanakurejeshea hewani Blog yako pendwa.Watundu wanaovuruga mambo mtandaoni (hackers) walijaribu kuimiliki blog hii kwa kufanya majaribio zaidi ya mara 300 yaliyosababisha mifumo ya kiusalama, kufanyakazi ya ziada kuihami Modewjiblog.Hata hivyo wataalamu wetu wameziba mianya iliyokuwa imesababisha hali hiyo na sasa tupo pamoja nanyi.Tunashukuru kwa uvumilivu wenu, tuko pamoja na endelea kuperuzi nasi.Kwa mawasiliano zaidi tutumie...

 

10 years ago

Michuzi

MODEWJI BLOG YARUDI HEWANI BAADA YA KWIKWI YA MASAA 4*

modewjiblog logoBaada ya kwikwi ya saa takribani 48 wataalamu wa Modewji blog wanakurejeshea hewani Blog yako pendwa.Watundu wanaovuruga mambo mtandaoni (hackers) walijaribu kuimiliki blog hii kwa kufanya majaribio zaidi ya mara 300 yaliyosababisha mifumo ya kiusalama, kufanyakazi ya ziada kuihami Modewjiblog.Hata hivyo wataalamu wetu wameziba mianya iliyokuwa imesababisha hali hiyo na sasa tupo pamoja nanyi.Tunashukuru kwa uvumilivu wenu, tuko pamoja na endelea kuperuzi nasi.Kwa mawasiliano zaidi tutumie...

 

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MDAU FRANCIS GODWIN BLOG LAREJEA HEWANI BAADA YA KUPATWA NA KWIKWII

Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima:: Uongozi  wa mtandao  wa www.francisgodwin.blogspot.com unapenda  kuwaomba  radhi  wadau  wake  kutokana na usumbufu mkubwa  uliojitokeza kwa kipindi cha  zaidi ya  wiki moja  sasa kwa mtandao huo kutokuwepo hewani ,ila tunapenda  kuwataarifa  kuwa  kuanzia leo mtandao huo wa francisgodwinblog upo hewani hivyo endelea  kupata habari na matukio mbali mbali kama  ilivyokuwa awali kwa  kutembelea...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA: MJENGWABLOG IMERUDI HEWANI!

Ndugu zangu,
Ni saa kadhaa zilizopita. Tunawashukuru wote mliotutumia jumbe na kutupigia simu kuulizia kulikoni. Mmeonyesha kujali. 

Tunaamini, kuna wengi pia ambao hawakupata nafasi ya kuulizia tatizo, lakini, kuwa wapo pamoja nasi,tunawashukuru sana. 
Unaweza sasa kutembelea
http://mjengwablog.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani