Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkaa kutoka kwa takataka Burundi

Mradi mpya wa kutumia takataka kutengeneza mkaa umesifiwa kwa kusaidia kuhifadhi mazingira nchini Burundi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MKIMBIZI KUTOKA BURUNDI AFARIKI MKOANI KIGOMA KWA UGONJWA USIOJULIKANA, AZIKWA KWA TAHADHARI KUBWA

Habari na picha na Editha Karlo, wa Globu ya Jamii Kigoma

MTU mmoja ambaye ni raia kutoka nchi ya Burundi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kigoma  kwa ugonjwa usiojulikana. 
Mgonjwa huyo amezikwa leo jioni  kwa tahadhari zote zihusuzo magonjwa ya kuambukizwa.
Nguo, vitanda, mashuka na vitu vyake vyote alivyokuwa akitumia wakati wa uhai wake vimechomwa moto mara tu baada ya mwili wake kuzikwa eneo la Masanga nje kidogo ya mji wa Kigoma.
(Picha zinaonesha hatua mbalimbali toka...

 

10 years ago

Michuzi

Kigoma wapongezwa kwa ubunifu wa kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi kutoka Burundi wanaoingia nchini

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akipata maelezo ya njia ya kutembea kwa miguu kutoka Kagunga hadi Mkigo kutoka kwa mkazi wa kijiji hicho, Mahmud Ahmad wakati alipokagua njia hiyo ili itumike kuwasafirisha waomba hifadhi ya ukimbizi wa Burundi, tarehe 17 Mei, 2015, (mwenye Kaunda suti ) ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya (mwenye koti) akiwa katika kijiji cha...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU

Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya afya katika kituo cha Red Cross kinachotoa huduma za afya kwa wakimbizi walioko katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Shirika la Red Cross ni mojawapo ya wadau wanaoshirikiana na Serikali kutoa huduma za afya katika kambi ya Nyarugusu.Mkimbizi kutoka Burundi akipata huduma ya maji katika moja ya vituo vya maji vilivyojengwa katika Kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu. Huduma za...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu mjumbe maalum wa Serikali ya Burundi Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza leo jioni.Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi(picha na Freddy Maro)

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Anusurika kuuawa kwa tuhuma za kuiba gunia za mkaa


 Na Amiri kilagalila,Njombe

Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Issa Setti maarufu Mngoni ambaye ni dereva bodaboda kituo cha Lutilage mjini Njombe amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali wa mtaa wa Idundilanga akituhumiwa kuiba gunia mbili za mkaa.

Wakizungumza kwa hisia kali wakazi wa mtaa huo wenye mikasa mingi ya wizi na uporaji akiwemo Joseph Kasiani na Grace Michael wamesema kijana huyo amekuwa na tabia ya wizi na udokozi wa kupindukia kwa kipindi kirefu na kutupiwa lawama na...

 

5 years ago

Michuzi

MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV .
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa?

Wakati, Burundi ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wiki ijayo, uhusiano kati ya nchi hiyo na jirani yake wa karibu Rwanda ukiwa umevunjika

 

9 years ago

Mwananchi

‘Tumieni takataka kutengeneza bidhaa’

Watanzania wametakiwa kutumia takataka zinazozagaa mitaani kutengeneza bidhaa zenye thamani na ubora kibiashara.

 

10 years ago

Mtanzania

Takataka zawawatisha wakazi Dodoma

NA PENDO MANGALA, DODOMA

WAKAZI wa maeneo ya Chang’ombe na Kizota katika Manispaa ya Dodoma, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kuzagaa kwa takataka karibu na maeneo wanayoishi.
MTANZANIA imebaini kuwapo kwa takataka hizo katika maeneo hayo ambazo zimesababisha mazingira hayo kuwa katika hatari ya kuambukiza magonjwa na kuwa tishio kwa wakazi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.
Mmoja wa wakazi wa Chang’ombe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, alisema taka hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani