‘Tumieni takataka kutengeneza bidhaa’
Watanzania wametakiwa kutumia takataka zinazozagaa mitaani kutengeneza bidhaa zenye thamani na ubora kibiashara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine
MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.
Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mama Kikwete awataka Wanawake Wajasiriamali kutengeneza bidhaa ambazo soko lake linapatikana kirahisi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania kutengeneza bidhaa ambazo soko lake ni dogo.
Mwito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati wa uzinduzi wa...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Takataka zawawatisha wakazi Dodoma
NA PENDO MANGALA, DODOMA
WAKAZI wa maeneo ya Chang’ombe na Kizota katika Manispaa ya Dodoma, wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kuzagaa kwa takataka karibu na maeneo wanayoishi.
MTANZANIA imebaini kuwapo kwa takataka hizo katika maeneo hayo ambazo zimesababisha mazingira hayo kuwa katika hatari ya kuambukiza magonjwa na kuwa tishio kwa wakazi wanaoendesha shughuli zao katika eneo hilo.
Mmoja wa wakazi wa Chang’ombe ambaye hakutaka kutajwa jina lake, alisema taka hizo...
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mkaa kutoka kwa takataka Burundi
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Takataka zaweza kuwa chanzo cha kipato
11 years ago
GPLDAMPO JIPYA LA KISASA LA KUTUPIA TAKATAKA LINALOJENGWA JIJINI MBEYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-trxPV7yToyk/XnsGEQAAyPI/AAAAAAALk_A/CNJcKN367KgnJn14sfLoQBC1pvMZzUZfACLcBGAsYHQ/s72-c/7a57dca7-c661-4d35-878c-b02b35a5961c.jpg)
DC KATAMBI ALIAGIZA JIJI LA DODOMA KUMALIZA CHANGAMOTO YA TAKATAKA NDANI YA SAA 72
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa Kipindupindu, Jiji la Dodoma limeagizwa kuchukua hatua za haraka kwa kumaliza changamoto ya uchafu ambayo imekua ikilalamikiwa na wananchi wake.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi leo wakati alipofanya ziara ya kukagua usafi wa mazingira katika mitaa na masoko mbalimbali ya jiji hilo.
Katika ziara yake hiyo, DC Katambi amebaini uwepo wa takataka nyingi kwenye mitaa...
5 years ago
MichuziDC CHONGOLO AWAONYA WENYE TABIA YA KUTUPA TAKATAKA KATIKA MIFEREJI ILIYOKO BARABARANI
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Godfrey Chongolo ametoa onyo kwa wananchi walioko ndani ya Wilaya hiyo ambao wanatabia ya kutupa takataka katika mitaro ambayo imejengwa katika barabara mbalimbali kwa kutumia fedha nyingi za Serikali.
Akizungumza na Michuzi Blog pamoja na Michuzi TV, katika mahojiano maalum, Chongolo amesema kuwa barabara ambazo zinajengwa imekuwa ikiwekewa mifereji ya kuondosha maji , sasa wananchi wamebadilisha na kuanza...