Mkurugenzi KEC atakiwa kutekeleza maagizo
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimemtaka Mkurugenzi wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), Dk. Cprian Mpemba kutekeleza maazimio yaliyotolewa katika kikao chao Aprili 30, mwaka huu, mjini Dodoma kuhusu shirika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Sep
Pinda kuongoza kikao CDA kutekeleza maagizo ya Rais
VIONGOZI na watendaji mkoani Dodoma wanatarajiwa kufanya kikao kitakachoongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa malalamiko kati ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na wananchi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ji4Cwfrk9VE/Xpa7aLk46XI/AAAAAAALnAA/X7VVtMakg7gdNOkFiZfdnd84u76s1wTfACLcBGAsYHQ/s72-c/864.jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Grative Tanzania Limited atakiwa kuripoti kituo cha Polisi
Agizo hilo limetanguliwa na lile alilopewa Mhandisi wa usimamizi wa Ujenzi huo aliyepo Zanzibar la kumtaka asitoke...
10 years ago
MichuziMKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Mwendo wa maagizo
Na Waandishi Wetu
NI mwendo wa maagizo. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kila waziri anayefanya ziara katika idara au taasisi zilizoko chini yake kutoa maagizo kudhihirisha uwepo wao.
Mawaziri hao ambao waliapishwa Desemba 12, mwaka huu, wameanza kazi kwa kasi kama ilivyokuwa kwa Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambao walianza kazi kwa kuwasimamisha maofisa wa umma na wajumbe wa bodi zaidi ya 83 katika muda mfupi, kutokana na makosa mbalimbali.
Baada ya...
10 years ago
Dewji Blog15 May
Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-g6ZKH7jRsoY/VS_laVSN71I/AAAAAAAACGs/OYDZ2q6pA2Q/s72-c/waziri_nyalandu.jpg)
Nyalandu atekeleza maagizo ya Kinana
NA MWANDISHI WETU, MBARALI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemaliza mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa zaidi ya miaka saba kati ya wananchi wa vijijii 21 na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Nyalandu, ambaye yuko ziarani mjini hapa, jana aliwaeleza wananchi kuwa serikali haiwezi kuwaacha wananchi wake wakanyanyasika hivyo ni lazima ichukue hatua.
Uamuzi huo wa serikali wa kumaliza mgogoro huo, ni utekelezaji wa maagizo ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuitaka...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU: ATOA MAAGIZO
“Sheria inakataza kuweka matumizi yoyote yasiyokuwa ya kitaaluma katika maeneo ya shule kwani yanasababisha kelele hivyo wanafunzi kushindwa kusoma vizuri.”
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni(Jumanne, Machi 3, 2020) baada ya kupokea malalamiko ya wazazi kuhusu eneo la shule ya msingi...
11 years ago
Mwananchi07 Jul
Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK
10 years ago
Vijimambo23 Jan
TFF yatekeleza maagizo ya Yanga
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2598466/highRes/927882/-/maxw/600/-/kqt1up/-/Yanga.jpg)
Katika kile kinachoonekana kama kuendeshwa na Yanga, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungia refa Mohamed Teofile kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu.
Jana mchana NIPASHE ilipata taarifa kutoka ndani ya TFF zikieleza kuwa refa huyo ameondolewa katika ratiba ya waamuzi wa msimu huu, taarifa ambazo baadaye...