Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano VIJANA WA DMV!!!

Mkutano wa Kwanza utafanyika jumamosi tarehe nne. Mkutano huu utafanyika nyumbani kwa Julia Nyerere: 9004 Brightlea Court Lanham, Maryland. Huu mkutano utaanza saa kumi kamili. Kama kuna maswali yoyote kuhusu huu mkutano, mpigie Julia Nyerere kwenye namba yake ya simu (240-764-9970).

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana

IMG_2103

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.

IMG_2136

Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Mkutano mkuu wa wanachama CCM DMV

Ndugu wanachamaKidumu Chama Cha Mapinduzi.Nawatangazia ya kuwa Kutakuwepo mkutano mkuu wa wanachama wote. Tumepata bahati ya ukumbiTarehe 10, January 2015Hampton Inn college park9670 Baltimore avenueCollege park, MD 20740. Kuanzia Saa 11 jioni. Tafadhali tujulishane.agenda itafuataKidumuJ.mushala Katibu CCM / DMV

 

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA NA MECHI YA VIJANA NA WAZEE DMV MAY 23 MEADOWBROOK PARK

 Timu ya Wazee Timu ya VijanaDave akimteza kipa wa Wazee Said Mwamende
Siku ya Jumamosi May 23, 2015 kutafanyika mechi kati ya wazee na vijana itakayokwenda sambamba na nyama choma katika viwanja vya Meadowbrook Park 7901 Meadowbrook Lane Chevy Chase, MD 20815.

Kwa wachezaji timu ya Wazee tafadhali wasiliana na nahodha wa timu Mude 202 644 1829
na kwa timu ya Vijana wasiliana na Yusuf 202 710 9019

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI DMV


Mkutano mkubwa ulioandaliwa na kanisa la Cathedral of Praise unaendelea ukiwa katika hatua za mwishomwisho. Mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Hampton iliyoko Baltimore ave College Park umefanyika kwa mafanikio ukishirikisha wahubiri kutoka states mbalimbali za hapa Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV

Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyoMkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya waTanzania Wasabato walioko Marekani  (Tanzania Adventists in the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am  - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church; 
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI

 Mchungaji Wilbert Nfubhusa akiongoza mkutano wa kiroho siku ya Ijumaa April 17, 2015 mkutano ulioanza siku ya Alhamisi April 16, 2015 katika kanisa la Wasabato lililopo mtaa wa Lockwood Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo mbalimbali hapa Marekani. Leo Jumamosi April 18, 2015 Mhe. Balozi Liberata Mulamula anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo unaotarajiwa kumalizika siku ya Jumapili April 19, 2015.Mchungaji Dr. Herry Mhando (kati karibu na kamera)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani