Mkuu wa polisi Kenya Kimaiyo ajiuzulu
Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi02 Dec
MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU
![](https://1.bp.blogspot.com/-pvie68DzNxY/VH28xvnmwaI/AAAAAAABzCs/SlhWK6iqV_E/s1600/kenya-lenku-kimaiyo.jpg)
Kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la wanamgambo wa Al Shabaad nchini Kenya kwa kuwaua watu 36 yaliyotokea leo ,mkuu wa polisi nchini humu David Kimaiyo anadaiwa kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.
Mkuu huyo wa polisi amelazimika kujiwajibisha mwenyewe kwa kujiuzulu kutokana na mauwaji ya mara kwa mara yanayofanywa na kundi hilo la Al...
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Mkuu wa polisi wa Atlanta nchini Marekani ajiuzulu baada ya mtu mweusi kuuawa
Katika kipindi cha wiki tatu, watu kote Marekani wamekuwa wakiandamana kufuatia kifo cha George Flyod, mwanaume mweusi aliyekufa mikononi mwa polisi.
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mkuu wa mageuzi ya polisi Kenya atishwa
Polisi nchini Kenya wanachunguza chanzo cha barua ya vitisho kwa maisha ya mkuu wa tume ya huduma kwa polisi kuhusiana na shughuli inayoendelea ya mageuzi katika idara ya polisi
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Rais wa Kenya amteua mkuu mpya wa Polisi
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemteua Joseph Chirchir Boinet kama inspekta jenerali mpya wa polisi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgS9nhL*EAvQHsp90ahv*kBdFJeQNNBQd-Oida7SsV0NdW6oGfN74HSn2ylyottl699jBDp3otuDfKsRheWEYXx1/KIMAIYO.jpg)
IGP KENYA AJIUZULU
IGP David Kimaiyo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kustaafu leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na usalama nchini humo. Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza Waziri Mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku. Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Kamanda wa polisi Ferguson ajiuzulu
Kamanda wa polisi katika mji wa Ferguson, Marekani amejiuzulu baada ya ripoti ya shirikisho kulaumu kitengo chake kina ubaguzi.
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Polisi aliyemuua kijana mweusi ajiuzulu
Wakili wa afisa aliyempiga risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa na silaha amesema kuwa mteja wake amejiuzulu.
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu
Rais wa Ukraine, Viktor Yanu-kovich, amekubali ombi la kujiuzulu kwa waziri mkuu wa taifa hilo, Mykola Azrov, pamoja na baraza lote la mawaziri
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania