Kamanda wa polisi Ferguson ajiuzulu
Kamanda wa polisi katika mji wa Ferguson, Marekani amejiuzulu baada ya ripoti ya shirikisho kulaumu kitengo chake kina ubaguzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Aug
Kamanda chipukizi CCM ajiuzulu
KAMANDA wa Chipukizi wa CCM, Mkoa wa Rukwa, Anyosisye Kiluswa ametangaza kujiuzulu rasmi nyadhifa zake ndani ya chama hicho.
11 years ago
Michuzi.jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
.jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Ferguson:Meya awaadhibu Polisi
Meya wa jiji la Ferguson ametangaza hatua kadha wa kadha dhidi ya Polisi kufuatia madai ya kuhusika na vitendo vya kibaguzi
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Polisi wawili wajeruhiwa mjini Ferguson
Polisi wawili wamejeruhiwa mjini Ferguson kulikotokea mauaji dhidi ya Kijana mweusi
11 years ago
Michuzi.jpg)
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda aendelea na kampeni yake ya kuhamasisha dhana ya polisi jamii
Na Fakih Mapondela wa Tabora Police Press
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan S. Kaganda Alhamisi tarehe 20/03/2014 alifanya ziara katika manispaa ya Tabora na kukutana na kikundi shirikishi (Sungusungu) na kukipatia mafunzo mbalimbali ya ulinzi shirikishi na ukamataji salama wa watuhumiwa pamoja na kukipa somo la dhana ya Polisi jamii.
Kamanda Kaganda akiwa katikati ya Sungusungu kuonesha mbinu bora za ukamataji salama wa watuhumiwa
Kamanda Kaganda akiwa katika harakati za kutoa...
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi02 Dec
MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU

Kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la wanamgambo wa Al Shabaad nchini Kenya kwa kuwaua watu 36 yaliyotokea leo ,mkuu wa polisi nchini humu David Kimaiyo anadaiwa kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.
Mkuu huyo wa polisi amelazimika kujiwajibisha mwenyewe kwa kujiuzulu kutokana na mauwaji ya mara kwa mara yanayofanywa na kundi hilo la Al...
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Polisi aliyemuua kijana mweusi ajiuzulu
Wakili wa afisa aliyempiga risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa na silaha amesema kuwa mteja wake amejiuzulu.
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mkuu wa polisi Kenya Kimaiyo ajiuzulu
Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Ugaidi:Kamanda wa polisi atimuliwa Tunisia
Waziri Mkuu wa Tunisia, Habib Essid, amewaachisha kazi makamanda wa polisi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania