Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia
Huzuni ya kumba tasnia ya uandishi na habari Afrika Mashariki
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgS9nhL*EAvQHsp90ahv*kBdFJeQNNBQd-Oida7SsV0NdW6oGfN74HSn2ylyottl699jBDp3otuDfKsRheWEYXx1/KIMAIYO.jpg)
IGP KENYA AJIUZULU
IGP David Kimaiyo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kustaafu leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na usalama nchini humo. Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza Waziri Mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku. Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu...
10 years ago
Michuzi02 Dec
MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU
![](https://1.bp.blogspot.com/-pvie68DzNxY/VH28xvnmwaI/AAAAAAABzCs/SlhWK6iqV_E/s1600/kenya-lenku-kimaiyo.jpg)
Kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la wanamgambo wa Al Shabaad nchini Kenya kwa kuwaua watu 36 yaliyotokea leo ,mkuu wa polisi nchini humu David Kimaiyo anadaiwa kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.
Mkuu huyo wa polisi amelazimika kujiwajibisha mwenyewe kwa kujiuzulu kutokana na mauwaji ya mara kwa mara yanayofanywa na kundi hilo la Al...
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mkuu wa polisi Kenya Kimaiyo ajiuzulu
Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WAZIRI KAGASHEKI AJIUZULU
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu bungeni hivi punde baada ya kutakiwa na wabunge awajibike kwa vitendo viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni…
11 years ago
Habarileo09 May
Mbunge amtaka Waziri ajiuzulu
MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kujiuzulu kwa kushindwa kuisimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kukamata mafisadi wakubwa.
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu
Rais wa Ukraine, Viktor Yanu-kovich, amekubali ombi la kujiuzulu kwa waziri mkuu wa taifa hilo, Mykola Azrov, pamoja na baraza lote la mawaziri
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Waziri wa madini ajiuzulu Tanzania
Waziri wa kawi na madini nchini Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania