Mkuu wa Volkswagen ajiuzulu kufuatia ufichuzi
Mkuu wa Volkswagen Martin Winterkorn amejiuzulu baada ya habari kutokea kuwa magari ya kampuni hiyo yamekuwa yakichafua mazingira.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mkurugenzi wa MTN ajiuzulu kufuatia faini Nigeria
10 years ago
Africanjam.ComRAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
Lakini alisema kuwa mamlaka yake hayaungwi mkono na kila mtu. Shirikisho la FIFA lilikumbwa na mgogoro wa kukamatwa kwa maafisa wake...
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Rais ajiuzulu ni baada ya kikao kizito Dodoma kufuatia mgongano wa kimaslai ndani ya Chama
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Tanzania Red Cross Society-TRCS), Dk. George Nangale (pichani), kwa habari zilizotufikia chumba cha Habari cha Mo dewji blog ni kuwa amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Habari hizo zilibainisha kuwa, Dk. Nangale tayari amewasilisha barua rasmi ya kujiuzulu huku akikabidhi vitu muhimu ikiwemo funguo ya gari ambayo alikuwa akiitumia kama Rais ama Mwenyekiti wa Chama, katika makao makuu ya Red Cross, Mikocheni Jijini Dar...
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Mkuu wa Jeshi ajiuzulu Misri
10 years ago
Michuzi02 Dec
MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU
Kufuatia shambulio lililofanywa na kundi la wanamgambo wa Al Shabaad nchini Kenya kwa kuwaua watu 36 yaliyotokea leo ,mkuu wa polisi nchini humu David Kimaiyo anadaiwa kutangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.
Mkuu huyo wa polisi amelazimika kujiwajibisha mwenyewe kwa kujiuzulu kutokana na mauwaji ya mara kwa mara yanayofanywa na kundi hilo la Al...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ajiuzulu
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Mkuu wa Usalama Marekani ajiuzulu.
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (pichani) amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake...