Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Jeshi ajiuzulu Misri

Mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi Misri, Abdul Fattah al-Sisi, amejiuzulu kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi ujao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa jeshi wauawa Misri

Maafisa 2 wa jeshi na wapiganaji 5 wa kiisilamu, wameuawa katika makabiliano ya kufyatuliana risasi wakati jeshi lilipokuwa linafanya msako nchini Misri

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri yataka jeshi la pamoja kuundwa

Misri imetaka kuwepo kwa kikosi cha pamoja cha nchi za kiarabu kukabiliana na vikundi vya wapiganaji vinavyochipuza .

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Misri ladai kuua kimakosa

Misri imesema jeshi lake la ulinzi limeuwa raia 12 kwa bahati mbaya

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Jaji Frederick Werema amejiuzulu siku ya jumanne kufuatia kashfa ya ESCROW aliyohusishwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu

werema

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (pichani) amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Usalama Marekani ajiuzulu.

Mkuu wa Idara ya Usalama nchini Marekani,Julia Pierson amejiuzulu kufuatia matukio yenye kuhatarisha usalama wa taifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu

Rais wa Ukraine, Viktor Yanu-kovich, amekubali ombi la kujiuzulu kwa waziri mkuu wa taifa hilo, Mykola Azrov, pamoja na baraza lote la mawaziri

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA POLISI KENYA AJIUZULU

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Joseph ole Lenku (kulia), na Mkuu wa Polisi, David Kimaiyo ambae  amejiuzulu  muda mfupi leo 

Kufuatia  shambulio  lililofanywa na  kundi la wanamgambo wa Al Shabaad  nchini Kenya kwa  kuwaua   watu  36 yaliyotokea  leo  ,mkuu wa polisi  nchini humu  David Kimaiyo anadaiwa  kutangaza  kujiuzulu nafasi  yake  hiyo.
Mkuu   huyo wa  polisi amelazimika  kujiwajibisha  mwenyewe kwa  kujiuzulu  kutokana na mauwaji ya mara kwa mara  yanayofanywa na kundi  hilo la Al...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa polisi Kenya Kimaiyo ajiuzulu

Mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani