Mkwassa aita 29 safari ya Uturuki
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 29 kwa ajili ya kambi ya Uturuki huku wachezaji tisa wakitoka Azam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-lGBXuT6kQ5c/Us4gReG7eTI/AAAAAAAA3tM/gUBCApbgzGE/s1600/1.jpg?width=640)
YANGA NDANI YA TURKISH AIRLINE SAFARI UTURUKI.
Wachezaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakiwa ndani ya ndege ya Turkish Airline kwa safari ya Uturuki Alfajiri ya leo ambako wanakwenda kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Bara. Jerry Tegete katika mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na chini ni Juma Abdul. HABARI/PICHA: BIN...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYnkLFFzpAUyNB8*Ry3FyeILMGFog-KfpvlyFOd4WejAaiMFmo1CddroLkUcOV6WHhPJTFwicJjw0jUBT3pAjym3/MZEEmajuto.jpg)
SAFARI YA UTURUKI YATAKA KUMUUA MZEE MAJUTO
Na Gladness Mallya
MSANII wa maigizo na filamu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ ameeleza kuwa, kwa furaha aliyonayo baada ya kupata safari ya kwenda Uturuki imemfanya ajisikie kufa kwani ni bahati ambayo hakuitarajia. Msanii wa maigizo na filamu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’. Mzee Majuto amepata shavu akiongozana na wasanii wengine wawili, Vicent Kigosi ‘Ray’ na Steven Jacob...
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Mkwassa, Maxime watambiana
Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwassa na mwenzake wa Mtibwa, Mecky Maxime wameanza kutambia kabla ya timu hizo kukutana kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mkwassa apewa angalizo Stars
Makocha na wachambuzi wa soka nchini wamemtaka kocha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Mkwassa kuwafundisha kumiliki mpira wachezaji wake kabla ya mchezo wa mwezi ujao dhidi ya Algeria.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s72-c/index-3.jpg)
RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-17_OkEbd7pg/Xk01mT_E9_I/AAAAAAALeUs/qUDz4OE0TCIf9qejZOB-PV3w63uri1DKQCLcBGAsYHQ/s640/index-3.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/b-3.jpg)
************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwassa ameeleza kuridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika kambi yao inayoendelea nchini Afrika Kusini.
10 years ago
GPLCHARLES MKWASSA NDIYE MRITHI WA NOOIJ TAIFA STARS
Charles Boniface Mkwasa wakati akikinoa kikosi cha Yanga. Â Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Moroco. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemtangaza Charles Boniface Mkwasa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Mkwasa anachukua mikoba iliyoachwa na Mart Nooij aliyetimuliwa kazi majuzi. Kabla ya uteuzi huo, Mkwasa alikuwa Kocha Msaidizi ya Klabu ya Yanga. Aidha TFF imemteua Kocha wa Zanzibar...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f9_IexohF1Q/VJRNIfTTmXI/AAAAAAAG4eE/tZWaCa1dp3c/s72-c/pluijm.jpg)
Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga
![](http://1.bp.blogspot.com/-f9_IexohF1Q/VJRNIfTTmXI/AAAAAAAG4eE/tZWaCa1dp3c/s1600/pluijm.jpg)
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Nooij aita tisa Stars
>Baada ya kuishudia Taifa Stars ikicheza kiwango kibovu na kunyukwa 3-0 na Burundi Jumamosi kocha mpya wa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi itakayochezwa Mei 4, kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania