Mkwassa apewa angalizo Stars
Makocha na wachambuzi wa soka nchini wamemtaka kocha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Mkwassa kuwafundisha kumiliki mpira wachezaji wake kabla ya mchezo wa mwezi ujao dhidi ya Algeria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa
10 years ago
GPLCHARLES MKWASSA NDIYE MRITHI WA NOOIJ TAIFA STARS
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s72-c/A%2B1.png)
MKWASA APEWA MKATABA WA KUDUMU STARS
![](http://3.bp.blogspot.com/-g-jcRfZ0dYc/VhPNlx0p02I/AAAAAAABJZA/IFrHTuewW00/s640/A%2B1.png)
Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu na kumalizika Machi 31, 2017.
TFF Imefikia makubaliano hayo na kocha Mkwasa baada ya kurudhika na utendaji wake katika kukinoa kikosi cha timu ya Taifa, ambapo mpaka sasa ameweza kuingoza Stars katika sare ya michezo miwili dhidi ya Uganda na Nigeria. Kufuatia kusaini mkataba huo, Mkwasa atapatiwa huduma na marupurupu...
9 years ago
Bongo507 Oct
Mkwasa apewa mkataba rasmi kuinoa Taifa Stars
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Mkwassa, Maxime watambiana
10 years ago
Habarileo07 Aug
Mkwassa aita 29 safari ya Uturuki
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars Charles Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 29 kwa ajili ya kambi ya Uturuki huku wachezaji tisa wakitoka Azam.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f9_IexohF1Q/VJRNIfTTmXI/AAAAAAAG4eE/tZWaCa1dp3c/s72-c/pluijm.jpg)
Hans van Der Pluijm na Charles Mkwassa watajwa kuwa makocha wapya wa Yanga
![](http://1.bp.blogspot.com/-f9_IexohF1Q/VJRNIfTTmXI/AAAAAAAG4eE/tZWaCa1dp3c/s1600/pluijm.jpg)
Pluijm na Mkwassa wanachukua nafasi ya makocha wa Yanga, Marcio Maximo na Leonardo Neiva waliotupiwa virago huku Tiboraha akichukua mikoba ya Beno Njovu aliyemaliza muda wake.
Awali mkufunzi wa Fifa, Henry Tandau alipigiwa chapuo kuchukua cheo cha Ukatibu baada...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Mengi awapa angalizo walemavu
WATU wenye ulemavu wametakiwa kuhakikisha hawachagui viongozi wala rushwa katika chaguzi zinazotarajiwa kufanyika nchini baadaye. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam katika Tamasha la tatu la watu wenye ulemavu lililoandaliwa...
11 years ago
Mwananchi04 May
Timu za Majiji zapewa angalizo