Timu za Majiji zapewa angalizo
Wakati timu zitakazoshiriki michuano ya kikapu ya Majiji Afrika Mashariki na Kati zikianza kuwasili jana, Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kamati ya Uendeshaji ya Majiji Afrika Kanda ya Tano, Mbaga Mwamboma, amezitaka timu za Tanzania kuhakikisha kombe la michuano hiyo linabaki nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 May
9 years ago
GPLHEINEKEN YAZINDUA KAMPENI YA MAJIJI YA ULIMWENGU
11 years ago
Mwananchi05 Feb
‘Mwanza ni chafu kuliko majiji yote’
11 years ago
Mwananchi05 May
Mwanza yajitoa mashindano ya Majiji kwa ukata
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Taasisi za fedha zapewa somo
TAASISI za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali nchini, zimetakiwa kuacha mfumo wa kuwakandamiza wanachama wake kwa riba kubwa, kwa madai kuwa zinachangia kudumaza shughuli za kiuchumi na...
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Yanga, Azam zapewa mchekea
9 years ago
Habarileo16 Dec
Azaki zapewa mwongozo kiutendaji
ASASI za Kiraia (Azaki) zinazojishughulisha na kuhamasisha utoaji elimu wa masuala mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, zimeshauriwa zinapotaka kufanya shughuli zao waonane kwanza na wakuu wa idara husika.
10 years ago
MichuziMameya na Wakurugenzi wa majiji sita ya Tanzania ziarani nchini Finland
10 years ago
Vijimambo23 Dec
Yanga, Azam zapewa mtihani Afrika
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/CAF-23Dec2014.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jana, droo ya michuano ya 19 ya Klabu Bingwa Afrika mwakani na michuano ya 12 ya Kombe la Shirikisho barani ilichezeshwa kwenye makao makuu ya CAF jijini Cairo,...