HEINEKEN YAZINDUA KAMPENI YA MAJIJI YA ULIMWENGU
Warembo kutoka kampuni ya kinywaji cha Heineken wakiwa katika red carpet iliyokuwa imeandaliwa. Warembo kutoka kampuni ya Heineken wakiwa kwenye pozi tofauti.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE TENA HAPA NCHINI
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Benki yazindua kampeni ufanisi
9 years ago
MichuziHUAWEI YAZINDUA KAMPENI YA “JIEKOTISHEâ€
11 years ago
Tanzania Daima01 May
NMB yazindua kampeni ya Jihudumie
BENKI ya NMB imezindua kampeni ya Jihudumie yenye lengo la kumwezesha mteja kupata huduma kirahisi kwa kujihudumia mahali alipo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa huduma...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Exim yazindua kampeni kuongeza ufanisi
BENKI ya Exim imezindua kampeni maalumu ya ‘Power of Service’ inayolenga kuongeza ufanisi wa benki hiyo hususan katika suala la utoaji wa huduma. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
10 years ago
Habarileo02 Oct
SBL yazindua kampeni kufikia malengo
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua kampeni itakayotoa elimu kwa Watanzania ili kusaidia kufikia malengo yaliyo bora kwa manufaa ya kila mmoja na taifa kwa ujumla.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
SBL yazindua kampeni ya ‘Fanya Kweli’
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager, imezindua kampeni mpya inayojulikana kwa jina la ‘Fanya Kweli’ ambayo itasaidia kujenga maisha ya mtu mmoja na Tanzania...
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Sep
Kagera yazindua kampeni ya kuimarisha Chama
NA ANGELA SEBASTIAN, BUKOBA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, kimezindua rasmi kampeni ya kuimarisha Chama ili kujiweka sawa na kujihakikishia ushindi wa kishindo katika uchaguzi ujao.
Uzinduzi wa kampeni hizo uliofanyika jana, katika kata za Ruhunga na Kyaitoke wilayani Bukoba vijijini, ulikwenda sambamba na ugawaji wa vifaa kama bendera, milingoti na kamba ikiwa ni hatua mojawapo ya kufufua kazi za mabalozi.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
11 years ago
MichuziNMB YAZINDUA KAMPENI MPYA YA JIHUDUMIE
Sasa wateja wa NMB wanaweza kupata huduma bila kwenda katika tawi la NMB. “Tunapenda kuwafahamisha wateja wetu kwamba sasa wanaweza kupata huduma za...