Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MONALISA: MWAKA HUU LAZIMA NIPIGE KURA

 Msanii mkongwe wa filamu Bongo , Ivon Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’. Mayasa Mariwata ZIKIWA zimebaki siku tatu kuelekea uchaguzi mkuu, msanii mkongwe wa filamu Bongo , Ivon Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ amesema safari hii lazima apige kura, hata kama kutakuwa na foleni ya aina gani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Monalisa alisema bila kujali ustaa wake, siku ya uchaguzi atapanga foleni hata kama ni kubwa ili kutimiza azma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MVUA NIPIGE MZIGO LAZIMA UFIKE

...Akiwa na mzigo wa madumu huku mvua ikimnyeshea. KAMA ulivyo msemo usemao Bora Punda afe mzigo ufike, ndivyo unavyoweza kusema kwa picha hii ya kijana aliyekuwa amebeba madumu matupu kwenye baiskeli yake, akiendelea na safari yake licha ya mvua kubwa iliyonyesha katika mitaa ya Buguruni jijini Dar es Salaam. Kamera za GPL zilimnasa akiwa kazini. (Habari/Picha na: Gabriel… ...

 

10 years ago

GPL

MLELA: MWAKA HUU LAZIMA NIOE

Na Gladness Mallya/Ijumaa
MSANII wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela amefunguka kwamba baada ya kuishi ‘singo’ kwa muda mrefu, sasa anajipanga kuoa hivyo ndani ya mwaka huu lazima ndoto yake hiyo itimie. Msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema mwaka huu amejiwekea malengo mengi lakini kubwa zaidi ni kuoa kwani anahisi akiendelea kuwa peke yake kuna mambo atakwama kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mlela:Mwaka Huu Lazima Nioe

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela amefunguka kwamba baada ya kuishi ‘singo’ kwa muda mrefu, sasa anajipanga kuoa hivyo ndani ya mwaka huu lazima ndoto yake hiyo itimie.

Akipiga stori na GPL, Mlela alisema mwaka huu amejiwekea malengo mengi lakini kubwa zaidi ni kuoa kwani anahisi akiendelea kuwa peke yake kuna mambo atakwama kwa kuwa hatakuwa na mtu wa kumshauri kwa karibu.

“Kiukweli maisha yenyewe ni mafupi na umri nao unaenda hivyo lengo langu kubwa kwa mwaka huu ni kuoa na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KWA AMANI KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU BAADAYE MWAKA HUU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanbzibar Balozi Seif akijibu maswali aliyoulizwa na Wanahabari wa Shirika la Magazeti ya Serikali la Zanzibar leo Hafsa Golo aliyepo Kati kati na Tatu Makame wa kwanza kushoto. Ripota wa Shirika la Utangazaji Tanzania {TBC } Marine Hassan akiporomosha maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa mahojiano yao kuhusu maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Picha na – OMPR – ZNZ.
                                 ...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Unyonyaji huu lazima tuukomeshe

>Leo tunatumia nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kazi nzuri iliyoifanya kwa muda wa miaka 13 mfululizo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Mwaka 1997 ya Monalisa Akiwa Mama Yake ‘Natasha Mamvi’, Yawafurahisha Wengi

Picha ya kitambo ya Staa wa bongo Movies, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ akiwa na mama yake mzazi ambaye pia ni staa wa Bongo Movies, Susan Lewis ‘Natasha’ aliyowekwa na Monalisa kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram imewafurahisha mashabiki wao wengi na kutupia komenti za kicheko na kuwasuifia kwa jinsi walivyotokelezea .

Monalisa alibandika picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa hiyo ilikuwa ni mwaka 1997.

“Haya nyie si wajuaji wa kucheka?chekeni sasa hadi mchoke,itaneni weeeee...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Mwaka Moja, Leo Monalisa Atoboa Mazito Kuhusu Kilichotokea Kwenye Msiba wa George Tyson

Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka aliekuwa muongozaji wa filamu na vipindi vya TV hapa Bongo, George Tyson kufariki dunia, mwigizaji  Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ambaye alizaa na marehemu  afunguaka mazito kupitia ukurasa wake mtandaoni.

Mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu monalisa akiwa na marehemu Tyson na mtoto wao, monalisa aliandika;

Wiki 78 zilizopita @jojityson alipost hii pic na kuandika
My family @monalisatz @soniamonalisa

Leo ni mwaka mmoja toka uondoke George..bado ni ngumu...

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani