Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA NIPIGE MZIGO LAZIMA UFIKE

...Akiwa na mzigo wa madumu huku mvua ikimnyeshea. KAMA ulivyo msemo usemao Bora Punda afe mzigo ufike, ndivyo unavyoweza kusema kwa picha hii ya kijana aliyekuwa amebeba madumu matupu kwenye baiskeli yake, akiendelea na safari yake licha ya mvua kubwa iliyonyesha katika mitaa ya Buguruni jijini Dar es Salaam. Kamera za GPL zilimnasa akiwa kazini. (Habari/Picha na: Gabriel… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MONALISA: MWAKA HUU LAZIMA NIPIGE KURA

 Msanii mkongwe wa filamu Bongo , Ivon Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’. Mayasa Mariwata ZIKIWA zimebaki siku tatu kuelekea uchaguzi mkuu, msanii mkongwe wa filamu Bongo , Ivon Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ amesema safari hii lazima apige kura, hata kama kutakuwa na foleni ya aina gani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Monalisa alisema bila kujali ustaa wake, siku ya uchaguzi atapanga foleni hata kama ni kubwa ili kutimiza azma...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgogoro wa Burundi ufike mwisho

Tovuti hii toleo la jana kulikuwa na habari iliyosema wakimbizi wa Burundi wazidi kumiminika nchini hadi kufikia 91,661. Takwimu za Septemba 8, kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, zinaonyesha kila siku wanapokewa wakimbizi 200 na kusajiliwa kwenye kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma.

 

10 years ago

GPL

BI. MOZA ATAMANI MWISHO UFIKE HARAKA

Stori: Chande abdallah
Soma hii! Kikongwe mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa (anakadiria ana miaka zaidi 100), mkazi wa Tandale, Kwatumbo jijini Dar amefunguka kuwa anatamani mwisho wa dunia ufike mapema kwa kudai kuchoshwa na mmomonyoko wa maadili unaoendelea nchini na dunia nzima kwa jumla. Kikongwe anayefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa. UZINZI, KATA ‘K’, NGUO FUPI ZAMCHEFUA
Akizungumza na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuh Mziwanda: Shilole Nimekupa Ruksa, Nipige Mpaka Nikome!!!

Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda  ameibuka na kuandika bandiko hili mtandaoni.

“Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekupa ruksa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

9 years ago

Mwananchi

Ninautua mzigo

Mhariri hima hima, shairi langu si dogo, Nina kisa chaniuma, si kingine ni mzigo,  Wahisani wakipima, jibu lisiwe mzigo, Ninautua mzigo, mzigo uso bebeka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK awabebesha mzigo TAKUKURU

RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba: Serikali tatu si mzigo

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani