Ninautua mzigo
Mhariri hima hima, shairi langu si dogo, Nina kisa chaniuma, si kingine ni mzigo, Â Wahisani wakipima, jibu lisiwe mzigo, Ninautua mzigo, mzigo uso bebeka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
JK awabebesha mzigo TAKUKURU
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini....
11 years ago
Habarileo16 May
Wakuu wa mikoa watwishwa mzigo
RAIS Jakaya Kikwete, amewaagiza wakuu wa mikoa kupunguza vifo vya watoto na akinamama vinavyotokana na uzazi katika mikoa yao, huku akiwahadharisha kwamba atafuatilia kwa karibu utendaji wao kuona namna wanavyoshughulikia tatizo hilo.
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Lugola amwita Chiza ‘mzigo’
JINAMIZI la kuitwa ‘Waziri Mzigo’ lililokuwa likimuandama Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limeibuka tena jana bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya bajeti ya wizara hiyo. Aliyeibua...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Wizara ya Viwanda na Biashara ni mzigo
11 years ago
Mwananchi14 Jun
‘Ni Bajeti mzigo kwa wavujajasho’
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Mzigo wote utuliwe, si sehemu tu
BAADA ya kunyaka habari kuwa Chama Cha Majaribio (CCM) kiliwaita baadhi ya watu wake kuwahoji kuhusu kuongeza uzito kiasi cha kuwa zigo zito kwa ulaji wao, kijiwe nacho kimeamua kwenda...
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Bunge jipya, mzigo zaidi
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Mahari ni mzigo kwa wanaume?