Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awabebesha mzigo TAKUKURU

RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ninautua mzigo

Mhariri hima hima, shairi langu si dogo, Nina kisa chaniuma, si kingine ni mzigo,  Wahisani wakipima, jibu lisiwe mzigo, Ninautua mzigo, mzigo uso bebeka.

 

9 years ago

Mwananchi

Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi

Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania, imelalamikia kutozwa kodi kubwa na kusababisha ishindwe kutoa huduma za mawasiliano kwa wananchi wengi wa vijijini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola amwita Chiza ‘mzigo’

JINAMIZI la kuitwa ‘Waziri Mzigo’ lililokuwa likimuandama Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limeibuka tena jana bungeni wakati wa mjadala wa hotuba ya bajeti ya wizara hiyo. Aliyeibua...

 

11 years ago

Habarileo

Wakuu wa mikoa watwishwa mzigo

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, amewaagiza wakuu wa mikoa kupunguza vifo vya watoto na akinamama vinavyotokana na uzazi katika mikoa yao, huku akiwahadharisha kwamba atafuatilia kwa karibu utendaji wao kuona namna wanavyoshughulikia tatizo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ni Bajeti mzigo kwa wavujajasho’

>Wasomi wameichambua Bajeti ya mwaka 2014/15 na kusema kuwa kwa kiasi kikubwa inategemea wafadhili na imeendelea kumbana mvuja jasho na kuwanufaisha wanasiasa

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda aitwisha mzigo NEC

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Na Fredy Azzah, DODOMA
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema hatima ya upigaji wa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa itatokana na tathmini itakayofanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuona jinsi hatua hiyo ilivyotekelezwa katika Mkoa wa Njombe.
Pinda aliyasema hayo jana nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya waandishi wa habari kutaka kujua msimamo wa serikali juu ya tarehe ya kupiga kura.

Alisema Serikali imekwisha kutoa asilimia 70 ya fedha za kununulia mashine...

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Madaktari labebeshwa mzigo

Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi, Dk Steven Kebwe.TUKIO la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) cha Dar es Salaam, linadaiwa kuandika historia mbaya nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara ya Viwanda na Biashara ni mzigo

Laiti Rais Jakaya Kikwete angekuwa na utaratibu wa Serikali yake kufanya tathmini endelevu ya utekelezaji wa kazi wa mawaziri katika wizara zote, angegundua kwamba zipo baadhi ya wizara ambazo viongozi wake ni mizigo isiyobebeka kutokana na kutofanya kazi, huku wakilipwa mishahara minono.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahari ni mzigo kwa wanaume?

Mahari ya kiwanja yaleta maafa, bwana harusi aamua kuwatoa uhai familia yake na wakweze kwa kukataa kumlipia mahari hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani