Pinda aitwisha mzigo NEC
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Fredy Azzah, DODOMA
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema hatima ya upigaji wa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa itatokana na tathmini itakayofanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuona jinsi hatua hiyo ilivyotekelezwa katika Mkoa wa Njombe.
Pinda aliyasema hayo jana nje ya Ukumbi wa Bunge baada ya waandishi wa habari kutaka kujua msimamo wa serikali juu ya tarehe ya kupiga kura.
Alisema Serikali imekwisha kutoa asilimia 70 ya fedha za kununulia mashine...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Muhongo aitwisha mzigo Bodi ya Tanesco
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuipa vipaumbele vitano vya utekelezaji wa majukumu yake.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana, ilisema uzinduzi wa bodi hiyo ulifanyika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wizara hiyo.
Alisema bodi hiyo ina jukumu kubwa la kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
‘Pinda mzigo namba moja serikalini’
WAKATI Chama Cha Mapinduzi kikionekana kubadili lugha na kuanza kuwatetea mawaziri kiliowaita ni ‘mizigo’ na wanapaswa kuwajibika, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hiyo ni geresha kwani chama hicho...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mbunge CCM: Pinda mzigo namba wani
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Pinda: Nipo tayari kung’olewa nikibainika ni mzigo
10 years ago
Habarileo02 Apr
NEC itaamua hatma uandikishaji -Pinda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ufafanuzi kuhusu suala la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura na siku maalum ya kupiga kura.
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Pinda: Nec inaweza kuahirisha Kura ya Maoni
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Ninautua mzigo
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
JK awabebesha mzigo TAKUKURU
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) kutimiza wajibu wao ili haki iweze kutendeka kwa wakati katika mahakama zote nchini....
11 years ago
Habarileo16 May
Wakuu wa mikoa watwishwa mzigo
RAIS Jakaya Kikwete, amewaagiza wakuu wa mikoa kupunguza vifo vya watoto na akinamama vinavyotokana na uzazi katika mikoa yao, huku akiwahadharisha kwamba atafuatilia kwa karibu utendaji wao kuona namna wanavyoshughulikia tatizo hilo.