Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPOTO AWACHANA WASANII KUKIMBILIA NIGERIA, SAUZ

Mrisho Mpoto akisikiliza moja ya maswali kutoka kwa mtangazaji wa Global TV.  Mrisho Mpoto akijibu moja ya maswali. Mtangazaji wa Global TV Online, Shovienly (Kushoto) akifanya mahojiano na Mrisho…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANABONGO FLEVA KUKIMBILIA SAUZ, NIGERIA TUNADANGANYANA!

Staa wa Bongo fleva, Ali Kiba. Makala: Andrew Carlos
KASI ya mastaa wa muziki wa Bongo Fleva inazidi kuongezeka kila kukicha huku kila msanii akionesha nia ya kupasua kimataifa.Mastaa wachache wa muziki huo wameweza kutambulika kwa kiasi kikubwa nje ya nchi na hii imetokana na kutoa video zenye viwango bora vya kimataifa. Miongoni mwa video hizo ni Number One (remix) ya Diamond akiwa na Davido wa Nigeria, Give Me Love ya Lady...

 

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

11 years ago

GPL

CLOUD AWACHANA WASANII WANAOLIA KINAFIKI MISIBANI

Stori: Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii. Wasanii wa Bongo Muvi na wadau mbalimbali wakiomboleza kifo cha Msanii mwenzao Recho. Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud...

 

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto awapa ushauri wasanii wanaotegemea show

Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amewataka wasanii wenzie kuacha kutegemea show pekee na kujitengenezea njia nyingine za kujipatia kipato. Mrisho Mpoto akikamata fursa kwa Waziri Pinda. Akizungumza na Bongo5 jana, Mpoto amesema kuwa wasanii wanaHitaji kutafuta elimu ya jinsi ya kutumia brand zao. “Wasanii wanahitaji kutafuta wasomi ili wajue jinsi ya kutumia […]

 

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto aja na ‘Kutoka Shambani’, anatafuta wasanii watatu wenye vipaji

Msanii wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ameanzisha kijiji kiitwacho ‘Kutoka Shambani’ ambacho kitawakutanisha vijana wenye fani mbalimbali hapa nchini. Mpoto ameiambia Bongo5 kuwa vijana wenye vipaji mbalimbali na watakaokubali kushiriki watalazimika kukaa miaka 2 kwenye kijiji hicho bila kutumia simu. “Nilichokifanya nimetafuta heka 20 ambazo zipo, nachofanya nataka nichukue wasani […]

 

10 years ago

Mtanzania

Nuru the Light: Wasanii msiige ya Nigeria

Nuru the lightNA JULIET MORI (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Fleva anayefanyia shughuli zake za kimuziki nchini Sweden, Nuru Magram ‘Nuru the Light’ amewataka wasanii wa Tanzania waache kushindana na soko la sanaa la Nigeria kwa kuwa halifanani na soko la hapa.

Msanii huyo alisema hayo jana, alipotembelea ofisi za kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.

Alisema Wanigeria hawakuanza jana kuwekeza katika sanaa, ndiyo maana sanaa yao hubadilika...

 

10 years ago

Michuzi

Msanii wa Komedy wa Nigeria awasifu wasanii wa Tanzania

MSANII wa vichekesho (komedy) kutoka Nigeria,Okopcha Bright Onyekere maarufu kama Basket Mouth amewasifu wasanii wa Tanzania kwa juhudi wanazofanya kuelimisha jamii kutumia vipaji vyao.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuwasili kutoka Nigeria kwa ajili ya onesho maalum kushirikiana na wasanii wa Tanzania juzi Dar es Salaam alisema kutoka aanze sanaa ya vichekesho miaka 16 iliyopita amekuwa akipata sifa za wasanii wa Tanzania wakiwika katika fani za muziki, sanaa za filamu, ...

 

10 years ago

Bongo5

Rapper M.I wa Nigeria awashirikisha wasanii 27 kwenye album mpya

Rapper wa Nigeria M.I anatarajia kuachia album mpya ambayo amewashirikisha jumla ya wasanii 27 kutoka Nigeria, Jamaica na Ghana. M.I ameshare cover ya album hiyo iitwayo ‘Chairman’ kwenye akaunti yake ya Instagram. Wasanii 27 aliowashirikisha ni: Ice Prince, Sarkodie, Sound Sultan, Tuface, Wizkid, Beenie Man, Olamide, Phyno, Reminisce, Patoranking, Seyi Shay, Runtown, Frank Edwards, Storm […]

 

9 years ago

Bongo5

Diamond adai kolabo yake na Ne-Yo imewatisha wasanii wa Nigeria

Diamond Platnumz amesema kolabo yake na msanii wa Marekani, Ne-Yo, imekuwa tishio kubwa kwa wasanii wa Nigeria. Muimbaji huyo amesema Kcee na kundi la Bracket wameusikia wimbo huo na wakadata. Akizungumza na waandishi wa habari jana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere akitokea Texas, Marekani katika utoaji wa tuzo za Afrimma, Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani