Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrembo wa Tanzania afuata taji la dunia

MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2014 (Miss Tanzania), Lilian Kamazima anatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda Sanya, China kushiriki mashindano ya dunia (Miss World), huku akiahidi kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mrembo akataa kurejesha taji lake

Mshindi wa taji la urembo nchini Burma aliyenyang'anywa taji hilo wiki iliopita ,amekataa kurudisha taji hilo kwa waandalizi

 

10 years ago

BBCSwahili

Mrembo apokonywa taji kwa ujeuri wake Burma

Mshindi wa mashindano ya taji la Miss Asia Pacific World, amevuliwa taji lake akisemekana ni mjeuri, hana hadhi na hastaili taji hilo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mrembo wa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ang’ara na vazi la taifa

Evening Gown

Miss Universe ndani ya vazi la jioni.

Mashindano ya awali (Preliminary show) ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa   huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko...

 

10 years ago

Michuzi

MREMBO WA TANZANIA KATIKA MASHINDANI YA DUNIA YA MISS UNIVERSE ANG’ARA NA VAZI LA TAIFA

Mashindano ya awali (Preliminary show)ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface (pichani)  ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko Marekani. Siku chache zikiwa...

 

11 years ago

Bongo5

Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014

Mrembo aliyezaliwa Ethiopia, Meron Wudneh ameshinda taji la Miss Africa USA 2014. Meron, aliyewashinda warembo wengine 20, akiwemo wa Tanzania, ni mrembo wa kwanza kutoka nchi hiyo kushinda tangu lianzishwe miaka tisa iliyopia. Mwaka jana taji hilo lilienda kwa Kathy Onmu kutoka Nigeria.

 

10 years ago

Mwananchi

Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014

Mashindano ya urembo ya dunia yamemalizika jana huku mrembo kutoka Afrika Kusini, Rolene Strauss akiibuka Miss World 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ExCeL London jijini London, England.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 40 kupita, huyu ndio mrembo wa kwanza kuvaa Taji la Miss Iraq..

December 19 2015 warembo kutoka nchi zaidi ya 100 duniani walikutana Sanya China kwenye stage moja wakishiriki kugombea Taji la Miss World, bahati nzuri ikawa kwa watu wa Spain, mrembo wao Mireia Lalaguna Rozo akaibuka na ushindi wa Taji hilo. Stori ikafatia usiku wa December 20 2015 kutoka Las Vegas Marekani ambapo fainali za Miss Universe […]

The post Baada ya miaka 40 kupita, huyu ndio mrembo wa kwanza kuvaa Taji la Miss Iraq.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Vijimambo

AEESHA KAMARA ANYAKUA TAJI LA MISS TANZANIA USA AVIKWA TAJI NJE YA UKUMBI BAADA YA MAJAJI KUTENGUA MATOKEO

Jaji Michael Lewis McBride akimvisha taji Aeesha Kamara mara tu baada ya majaji kutengua matokea ya aliyekua mshindi wa dakika 45 kwa madai kwamba aliyevikwa taji haukua chaguo lao. Picha zote na Vijimambo Blog/Kwanza ProductionMiss Africa USA 2014-2015 akimvisha umalikia wa Miss Tanzania USA Aeesha KamaraAeesha Kamara akipata picha ya kumbukumbu na Miss Africa USA 2014-1915Aeesha KamaraKwa mapicha kibao ya jinsi mashindano hayo yalivyokua Bofya soma zaidi
Aeesha Kamara na Aziza Gama katika...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani