Mshindi urais kutangazwa Alhamisi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mshindi wa kiti cha urais atatangazwa rasmi Alhamisi na kesho yake, atakabidhiwa cheti tayari kwa kuanza shughuli zake. Aidha, tume hiyo imesema haina ‘mbeleko’ ya kumbeba mgombea yeyote, bali itatangaza matokeo kama yatakavyokuwa kwenye masanduku ya kura.
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya masuala mbalimbali yaliyojiri katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana. Kailima...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Mshindi wa urais Tanzania kutangazwa
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Mshindi wa tuzo kuu ya Nobel kutangazwa
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya
Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]
The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...
10 years ago
MichuziMSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015
10 years ago
GPL10 years ago
GPLMGOMBEA URAIS UKAWA KUTANGAZWA KWA SHAMRASHAMRA NDANI YA SIKU 7
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa sasa rasmi Ukawa,muda wowote kutangazwa mgombea urais
10 years ago
MichuziMHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4
9 years ago
MichuziMatokeo ya Urais kutangazwa ukumbi wa Julius Nyerere International Convention centre kwa awamu tatu leo