Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshindi wa urais Tanzania kutangazwa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema tume hiyo itatangaza matokeo ya mwisho ya urais baadaye leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mshindi urais kutangazwa Alhamisi

Mshindi urais kutangazwa AlhamisiTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mshindi wa kiti cha urais atatangazwa rasmi Alhamisi na kesho yake, atakabidhiwa cheti tayari kwa kuanza shughuli zake. Aidha, tume hiyo imesema haina ‘mbeleko’ ya kumbeba mgombea yeyote, bali itatangaza matokeo kama yatakavyokuwa kwenye masanduku ya kura.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya masuala mbalimbali yaliyojiri katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana. Kailima...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshindi wa tuzo kuu ya Nobel kutangazwa

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel atatangazwa leo asubuhi, Papa Francis na Angela Merkel wakiwa miongoni mwa wanaopigiwa upatu kushinda.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya

Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]

The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA SHINDANO LA AIRTEL TRACE STARS AFRICA KUTANGAZWA RASMI NA AKON APRIL 18, 2015

 Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo  Akon, Devyne Stephens na Lynnsha  mwisho mwa wiki hii watashirikiana kumtanga rasmi mshindi wa Airtel Trace Afrika. Airtel kupitia taarifa yake iliyotumwa na ofisa uhusiano wake Jane Matinde imesema “Shughuli nzima ya kumtangaza mshindi itaonyeshwa  kupitia chanel ya Trace inayopatikana katika kituo cha DSTV #325  siku ya...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAMKO LA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA YA KUITAKA TUME IMTANGAZE MSHINDI WA KITI CHA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tumeainisha kwenye malalamiko yetu, kutokuridhishwa kwetu na mwenendo na matukio mbalimbali, hususani, utangazaji wa matokeo batili, yasiyo akisi matokeo halisi

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS UKAWA KUTANGAZWA KWA SHAMRASHAMRA NDANI YA SIKU 7

BAADA ya kikao (summit) kukamilisha maridhiano ambapo kilizungumzia jinsi gani ya kuachina majimbo yalibaki na suala la mgombea urais, sasa mgombea urais ndani ya UKAWA kuja kutangazwa kwa shamrashamra ndani ya siku saba. Akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia aliwaeleza wanahabari kuwa taratibu zote zimekamilika ndani ya vyama vinavyounda UKAWA na kilichobaki ni jinsi gani ya kumtangaza mgombea...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa sasa rasmi Ukawa,muda wowote kutangazwa mgombea urais

>Katika dakika za mwishomwisho wakati wa mchakato wa kuwania urais kwa tiketi ya CCM, habari za mmoja wa wagombea aliyekuwa na nguvu katika kinyang’anyiro hicho, Edward Lowassa kwamba angeenguliwa zilivuma mno na kuibua swali la atakatwa hakatwi?

 

10 years ago

Michuzi

MHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4

 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani