Msijione wanyonge, Pengo awaambia watawa
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelitahadhalisha kanisa hilo kwamba ni hatari endapo mapadri watawa watashindwa kutekeleza wajibu wao kwa kigezo kwamba wenzao wa jimbo wanajitosheleza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Watawa waachiliwa huru Syria
Imethibitishwa kuwa waasi nchini Syria wamewaachilia huru watawa 13 na wafanyikazi 3 wa nyumbani waliotekwa nyara mwaka jana
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wanawake wanaokuwa watawa waongezeka UK
Wanawake wanaokuwa watawa imeongezeka pakubwa katika kipindi cha miaka 25,kanisa katoliki nchini Uingereza na Wales limesema.
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Watawa 3 wakongwe wauawa Burundi
Watawa watatu wakongwe wameuawa mjini Bunjumbura katika makazi ya watawa wanawake na mhalifu mwenye tatizo la kiakili.
10 years ago
BBCSwahili17 May
Papa Francis kutawaza watawa 2 Wapalestina
Papa Francis atawatawaza watawa wawili wa Kipalestina walioishi katika karne ya 19 wakati wa utawala wa Ottoman.
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Watawa wakwama ndani ya lifti kwa siku 3
Watawa wawili wameokolewa kutoka kwa lifti mjini Rome baada ya kukwama kwa siku tatu bila chakula wala maji.
9 years ago
VijimamboRais Kikwete ahudhuria jubilei za watawa Lugoba
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua(kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana(kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana.(picha na Freddy Maro).
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Watawa wakataa kumuuzia nyumba Katy Perry
Mpango wa Katy Perry wa kutaka kununua jumba moja la watawa wa kikatoliki umepingwa na watawa waliokuwa wakiishi katika jumba hilo.
9 years ago
MichuziRais Kikwete ahudhuria jubilei za watawa Lugoba, Bagamoy, Mkoa wa Pwani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Sista.Perpetua(kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na Sista Ponsiana(kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa .Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana. Picha na Freddy Maro
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Wasomi watakiwa kutetea wanyonge
WASOMI nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya wanyonge badala ya kujiingiza katika kundi la kutetea mafisadi na wezi wa mali za umma. Ushauri huo ulitolewa mjini hapa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania