Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msindai: Niliyosema Monduli ni yangu

MWENYEKITI wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Mgana Msindai, amesema kuwa kauli yake aliyoitoa nyumbani kwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, ni yake binafsi. Katika taarifa yake kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

 Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea. 
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...

 

9 years ago

MillardAyo

Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’

Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSI, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Shilole na hivi karibuni Nahreel ameingia kwenye headlines za Tanzania baada ya kusema hakupendezwa na maneno ya utambulisho wake kufutwa kwenye beat aliyoitengeneza ya wimbo wa ‘Nana‘ wa Diamond […]

The post Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’ appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msindai: Sijahojiwa na CC

MWENYEKITI wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, Mgana Msindai, amesema hajahojiwa na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho kuhusu kauli yake aliyoitoa Monduli kwa Waziri Mkuu wa zamani,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msindai atetewa kuhusu Lowassa

MMOJA wa wanaharakati mkoani Tabora, Elisha Poneja, amemuunga mkono Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mgana Msindai, kuhusu kauli yake dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Msindai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...

 

10 years ago

Daily News

CCM not affected by Msindai's exit


CCM not affected by Msindai's exit
Daily News
CHAMA Cha Mapinduzi in Singida region has said that the defection of its regional chairman, Mr Mgana Msindai, to the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo will not affect its strength in any way. “He has made his own decision to join Chadema.

 

10 years ago

Mtanzania

Makonda akana kuwakashfu Guninita, Msindai

MAKONDANA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amekana kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita.
Amedai kwamba alichozungumza kiliungwa mkono na viongozi wa juu wa chama hicho akiwamo John Malecela na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya.
Makonda alidai hayo jana katika majibu yake aliyowasilisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani