Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Msitumie bidhaa zilizoisha muda’

Wakazi wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kuacha kutumia bidhaa zilizoisha muda wake kwa kuwa husababisha madhara kwa walaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

‘Wafanyabiashara teketezeni bidhaa zilizokwisha muda’

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Kanda ya Kati imewataka wafanyabiashara wa vipodozi, vifaatiba na chakula kuziondoa sokoni bidhaa zilizokwisha muda wake kabla hazijaleta madhara kwa watumiaji.

 

10 years ago

Habarileo

JK- Msitumie fedha za maendeleo kulipa posho

RAIS Jakaya Kikwete amezitaka halmashauri nchini kuepukana na vishawishi vya kutumia fedha za maendeleo ya wananchi kulipia posho za vikao vya madiwani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRCA: Msitumie vibaya mitandao ya kijamii

WATANZANIA wamehimizwa kuacha matumizi mabaya ya mitandao ya jamii ikiwemo kuweka picha za utupu, kusababisha ugomvi, kuwahimiza wengine kwa mambo yasiyo ya kweli, kupotosha jamii na kuvuruga maendeleo. Akizungumza, Meneja...

 

10 years ago

Mwananchi

Wassira: Msitumie maneno ya uzushi kufanyia maamuzi

>Stephen Wasira siyo jina dogo katika ulimwengu wa siasa za Tanzania. Ni miongoni mwa wanasiasa wachache nchini ambaye amepata kuwa kiongozi katika Serikali ya awamu ya kwanza, pili na ya nne akishika nafasi mbalimbali za uwaziri na ukuu wa mkoa.

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE: MSITUMIE SUKARI SIYO NZURI SANA!

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la masuala ya afya la nchini Uingereza (BMC Public Health), unywaji wa vinywaji vyenye sukari, kiasi cha mara tatu kwa wiki, huweza kunenepesha matiti na unenepaji wa matiti huongeza hatari ya mwanamke kupatwa na saratani ya matiti. Waliofanyiwa utafiti huo ni wanawake 776 ambao hawajafikia ukomo wa hedhi (Premenopausal) na wanawake 779 waliofikia ukomo wa hedhi...

 

11 years ago

Michuzi

MBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.

Pichani ni mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe akiwa sambamba na Mbunge wa jimbo la Kawe,Halima  Mdee wakiwa wameachiwa na jeshi la polisi akisindikizwa kwenda kupanda chopa katika viwanja vya mwembetogwa mara baada ya kudaiwa kuzidisha muda kwenye mkutano wao wa hadhara mkoani Iringa. (picha zote na denis mlowe) Na Denis Mlowe,Iringa MWENYEKITI wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa jimbo la Hai na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Halima Mdee walishikiliwa kwa muda na Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani