Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTAMA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waomba kunusuru mtama wao

Wananchi wilayani Kishapu mkoani hapa wameiomba Serikali iwapelekee ndege kwa ajili ya kupulizia dawa ya kuua ndege aina ya kolea kolea wanaoshambulia mtama ulioko shambani ili kuweza kuepusha baa la njaa linaloweza kusababishwa na viumbe hao.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nitaipaisha Mtama kimaendeleo — Mchinjita

BAADA ya kipenga cha uchaguzi mkuu kupulizwa, wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa wamejitokeza kuwania ubunge katika maeneo mbalimbali nchini. Kijana Isihaka Mchinjita (32), ni miongoni mwa waliotangaza nia kuwania ubunge Jimbo la Mtama, mkoani Lindi, kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF). Mwandishi Wetu AHMAD MMOW, amefanya mahojiano naye kuhusu nia yake. Endelea……

Raia Tanzania: Jimbo la Mtama lenye wakazi 141,000 na wapiga kura takriban 80,000 sasa liko wazi baada ya aliyekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AHIMIZA MSHIKAMANO MTAMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akisalimiana na Mzee Masoud Ali Chitende Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mtama mara baada ya kuwasili kwenye kata ya Mtama ambapo alipata nafasi ya kuwasalimu wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata Mtama na Majengo, Mtama mkoani Lindi.Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mtama Mzee Said H. Maluma,kushoto ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Majengo Mzee Omari Mataka.Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama

Hali katika Jimbo la Mtama si shwari baada ya kundi la wananchi kufanya maandamano ya kukataa matokeo ya kura za maoni yaliyompa ushindi Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye huku wakimtaka mpinzani wake achukue uamuzi mgumu.

 

10 years ago

Vijimambo

Nape ajitosa kumrithi Membe Mtama.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Baadhi ya vigogo wa serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye na waliokuwa baadhi ya wabunge wa majimbo nchini, jana walijikuta wakipigana vikumbo katika ofisi za chama hicho kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania ubunge katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini Oktoba 25, mwaka huu.

Hatua hiyo ilikuja baada ya Chama hicho kutangaza kuanza kutoa fomu hizo jana kwa wanachama wake...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi kuwania ubunge jimbo la Mtama

MWANAFUNZI wa stashahada ya uzamili ya utawala wa huduma za umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Malick Malick ametangaza kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Singida wahimizwa kulima Mtama

DSC08901

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mbeya,Ahmed Msangi (wa tatu kulia) akishiriki mchakamchaka muda mfupi kabla mwenge wa uhuru kukibidhiwa kwa uongozi wa mkoa wa Singida, katika kijiji cha Rungwa tarafa ya Itigi wilaya ya Manyoni.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKAZI wa Manispaa ya Singida,wamehimizwa kulima zao la mtama linalohimili ukame kama inavyoelekezwa na uongozi wa mkoa ili waweze kuondokana na uhaba wa chakula katika kipindi chote cha mwaka.

Wito huo umetolewa hivi karibuni na...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara...

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani