Nitaipaisha Mtama kimaendeleo — Mchinjita
BAADA ya kipenga cha uchaguzi mkuu kupulizwa, wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa wamejitokeza kuwania ubunge katika maeneo mbalimbali nchini. Kijana Isihaka Mchinjita (32), ni miongoni mwa waliotangaza nia kuwania ubunge Jimbo la Mtama, mkoani Lindi, kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF). Mwandishi Wetu AHMAD MMOW, amefanya mahojiano naye kuhusu nia yake. Endelea……
Raia Tanzania: Jimbo la Mtama lenye wakazi 141,000 na wapiga kura takriban 80,000 sasa liko wazi baada ya aliyekuwa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Zitto: Nitaipaisha ACT kama Chadema
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, amesema atafanya kazi kukijenga chama Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kwa kukipaisha kama alivyofanya kazi akiwa ndani ya Chadema.
Amesema akiwa kiongozi Chadema kwa miaka zaidi ya 20 alifanya kazi ya kukijenga chama na kuhakikisha kinatoka kuwa na wabunge wanne na sasa kimepanda na kuwa na wabunge 48.
Akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Lulu: Nataka wazee kimaendeleo
NA SHARIFA MMASI
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema hupendelea uhusiano wa kimapenzi na wanaume wenye umri mkubwa kwake ili aweze kujifunza mengi kutoka kwao hata kama hawatokuwa wote maisha yote.
Lulu alisema kipindi alipokuwa katika uhusiano na wanaume wakubwa, alijifunza mambo mengi ambayo yanaendelea kumuweka daraja la juu katika mafanikio ya maisha yake ya sasa.
“Kipindi chote ambacho nimejikita kwenye uhusiano wa kimapenzi, nilikuwa nikipenda kuwa na...
10 years ago
GPLWAJUE WAVUMBUZI WALIOIBADILISHA DUNIA KIMAENDELEO
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Tanzania yaipongeza China kwa misaada ya kimaendeleo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika sherehe ya mwaka mpya wa Kichina jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe, ameipongeza Serikali Jamhuri ya China kwa msaada wake wa kuhakikisha Tanzania imefungua idara ya maalum...
5 years ago
MichuziWanawake Rukwa watajiwa wanaowarudisha nyuma kimaendeleo
Amesema kuwa katika halmashauri nne za mkoa huo ni Manispaa ya Sumbawanga pekee ndio inayoongoza kwa utoaji wa mikopo hiyo ikifuatiwa na halmashauri ya Wilaya Kalambo huku...
9 years ago
Vijimambo02 Sep
ZIARA YA SHIRIKA LA KIMAENDELEO PLAN INTERNATIONAL WILAYA YA KISARAWE
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Pambano la Simba na Yanga lasimamisha shughuli za kimaendeleo Singida
Pambano la watani wa jadi kati ya Yanga na Simba zote za jijini Dar-es-saalam lasimamisha shughuli mbalimbali mjini Singida kwa wakazi wake kujazana kwenye kumbi zilizokuwa zikionyesha mchezo huo ‘Live’ kupitia TV. Juzi jioni kosta mbili zilizokuwa zimejaza hasa wapenzi wa Simba wakiongozwa na mpenzi mkubwa wa timu hiyo Singida mkoani hapa, Mhandisi Max Kaaya kwenda jijini Dar-es-salaam kushuhudia mpambano huo ambao katika siku za hivi karibuni umekuwa gumzo kubwa kila kona ya nchi.(Picha...
5 years ago
MichuziHALI YA MJI WA BUKOBA, TAHADHARI YA CORONA, NA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KATIKA PICHA.
Pichani ni Muonekano wa Kisiwa cha Musira na Bandari ya Bukoba kama palivyonaswa na Kamera yetu Pichani ni baadhi ya abiria na wananchi mbalimbali wakinawa Mikono eneo la Stendi ya Bukoba wakati wanapoingia na kutoka katika kituo cha Mabasi Bukoba, lengo ni kuendelea kuchukua Tahadhari ya Corona. Pichani ni Mtumishi wa Idara ya Afya akiendelea na majukumu yake ya kuwapima wasafiri wanaoingia Mkoani Kagera, kutokea maeneo mbalimbali pindi wanapoteremka katika Mabasi.
Pichani ni katikati...
9 years ago
Michuzi21 Oct
SMZ YAIPONGEZA UN KWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KIMAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, ZanzibarSERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...