Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANZANIA MZEE ALFRED MAGEGE ANAUMWA

Mtanzania Ndugu Alfred Magege anaumwa sana na amelazwa Calvary Hospital kwa ajili ya 'palliative care'. Mr. Magege has been battling bone cancer for 10 years. Familia inaomba ushirikiano wa hali na mali kutoka kwa Watanzania wengine na marafiki, ndugu na jamaa kutoka nchi zingine.Unaweza kuwasiliana na familia ya ndugu Magege kama ifutavyo: Buyamba Magege (son)#646-943-1104.  Mrs. Lois Magege #646-864-9645. Geoffrey Ngullu# 267-582-6276Feel free kumtembelea mgonjwa ndugu Alfred Magege...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA MIJI JIRANI WASHIKAMANA NA KUMZIKA MZEE ALFRED MAGEGE


Mzee Magege  apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kwa ushirikiano wa jumuiya ya Watanzania waishio New York na miji ya jirani. Sala ya kumuombea mzee magege na kuaga mwili wake vyote vilifanyika Victory Seventh-Day Adventist Church Bronx. Ny. na kisha kumsindikiza kwenye nyumba yake ya milele huko Mount Prospect Cemetery Neptune City. Nj.
 Mwili wa mzee Magege ukiwa ndani ya jeneza tayari kwa kuifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele. Mke wa marehemu akiwa na watoto wake mbele ya nyumba ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini

PG4A5091

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Magreth Kinabo, Dodoma

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale  Mwiru ameeleza siri iliyomsukuma  kutoa mapendekezo yake  ya sura mpya juu ya lengo la mageuzi ya maendeleo ya kiuchumi  na kijamii na kujitegemea kuwa ni unyonge wa watu wengi ili waweze kuondokana na umasikini.

 Aidha Mzee  Kingunge...

 

10 years ago

GPL

RAY C: MAMA’ANGU ANAUMWA SANA

Musa Mateja
STAA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ambaye anatumia dozi ya kumwezesha kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, amesema kuwa mama yake mzazi yu mgonjwa sana, akisumbuliwa na maumivu makali, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili. Mama mzazi wa Ray C, Margaret Mtweve. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo alisema kwa zaidi ya siku tatu mfululizo, mama yake alishindwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama yamwamuru Gwajima kuthibitisha kama kweli anaumwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwamuru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima awasilishe Mahakamani hapo vyeti vinavyoonesha kuwa  ni mgonjwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alfred Elia aahidi makubwa Simba

MGOMBEA ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Alfred Elia, amewaomba wanachama wa klabu hiyo kumchagua ili aweze kuleta maendeleo hasa kupitia jina na nembo ya klabu hiyo. Elia ni...

 

10 years ago

Michuzi

Brigitte Alfred Foundation yasherehekea mafanikio ya Vijana

Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya BAF (Brigitte Alfred Foundation) na Miss Tanzania 2012,Bi. Brigitte Alfred akimtumza mmoja wa vijana wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambao wako chini ya Taasisi hiyo,aliekuwa akighani shairi alilolitunga,wakati wa hafla ya kusherehekea Mafanikio ya Vijana hao iliyofanyika leo kwenye Viwanja Makumbusho,Jijini Dar es Salaam.Taasisi ya BAF kupitia Mpango wake wa JA (Juniour Achievement) imeweza kuelimisha vijana 50 wenye ulemavu wa ngozi katika mpango wa kutoa...

 

10 years ago

Bongo5

Brigitte Alfred amtetea Miss TZ 2014, Sitti Mtemvu, ‘likikuchosha taji lilirudishe tu mpendwa’

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred amemtetea Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye tangu ashinde amekuwa akikosolewa kuwa hakustahili na kwamba alidanganya umri wake. Brigitte ametumia mtandao wa Instagram kuandika kile anachokiona kuwa ni uonevu kwa Mtemvu anayepokea matusi ya kila aina. “Mazuri mengi yanawapita, but when it’s something scandalous mnadiscuss forever!Ndio maana hatuendelei. I wish […]

 

10 years ago

Michuzi

IBF Africa, Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred waandaa ngumi za kulipwa kuchangia albino

Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) na kampuni ya Kango wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa kwa kushirikisha mabondia nyota duniani.Mapmbano hayo yamepangwa kufanyika Novemba 28 kwenye ukumbi wa Mlimani City na lengo lake kubwa ni kutafuta fedha za kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).Rais wa IBF Africa, Onesmo Ngowi alisema kuwa siku hiyo imepewa jina la  “knock out albinos...

 

9 years ago

Michuzi

Taasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga

Jengo la Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, lililojengwa kwa ufadhili wa Taasisis ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfre, muda mfupi kabla ya Uzinduzi rasmi wa Bweni hilo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe (katikati) akizungumza na mmoja wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo hicho, lililojengwa na Taasisis ya Brigitte...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani