Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtendaji atoweka na mil. 2.5/- za maabara

MKUU wa Wilaya ya Muleba, Lembris Kipuyo amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya hiyo (OCD) kumtafuta Philipo Paul aliyekuwa mtendaji wa Kata ya Kimwani kabla ya kuhamishiwa Kata ya Rutoro akidaiwa kutafuna Sh milioni 2.5, fedha zilizochangwa na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa maabara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Aguswa na ujenzi wa maabara na kutoa mil 3/-

MDAU wa Maendeleo ya elimu nchini, Mnandi Mrutu anayefanya shughuli zake mkoani Iringa, ameahidi kutoa Sh milioni tatu ikiwa ni mchango wake kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya Kirongaya ya wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA MIL 240 KWA AJILI YA MAABARA ZA SEKONDARI CHALINZE



……………………………………………………………………………………
NA MWAMVUA MWINYI, Chalinze 
SERIKALI Kuu imetoa kiasi cha sh.milioni 240 ,kwa ajili ya kumalizia maabara nane katika za sekondari kwenye halmashauri ya Chalinze, wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani .
Fedha hizo zitatokana na bajeti ya mwaka wa 2020/2021, zinalenga kujenga vyumba hivyo katika shule 9 za sekondari, ambapo kila chumba kimoja kitatumia sh.milioni 30. 
Kaimu Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Chalinze, Irene Joseph aliiambia Kamati ya Siasa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

11 years ago

GPL

GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!

Na Joseph Shaluwa na Musa Mateja
MARADHI yanayomsumbua mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ni tishio, Gazeti la Mastaa, Amani limeelezwa. Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa hoi hospitali. Ray C anaugua ugonjwa wa Homa ya Dengu ambao kitaalam hujulikana kama Dangue Fever. Ulibainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3




………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Tukikutna Tena Nitaweka Mil 10, Ray Aweke Mil 3!

“Kijana shupavu mjukuu wa Kigosi, bado sijamuona. Habari njema aliweka million yake ili ale million mbili, biashara nzuri sana hii nimeshakula mil 2 zako.sasa nakupa offer. tukikutana safari hii weka milion tatu naweka milion kumi. Lazima nikuvutie maana nimeambiwa hutaki tena changamka hutaki kukomboa hela zako???”-JB abandika andiko hili mtandaoni baada ya kuweka picha ya Ray.

Ray bado ajapatikana kujibu hii. Dah kufungwa noma sana.

 

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATOWEKA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
WAKATI suala la kudaiwa kudanganya umri likiwa bado ‘bichii’, taarifa zinadai kuwa mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ametoweka na hajulikani alipo, Risasi Mchanganyiko limechimbua stori kamili. Mshindi wa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu. Shughuli ya kumsaka mrembo huyo ili kujua undani wa sakata lake ilianzia Temeke ambako ilielezwa kuwa ndiko anakoishi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani