MTITU AKOMA KUSAFIRI NA BOTI
![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6opPBu3bFCudY*yRuthVCpi5KpzXD49XtdV34PMQrrTTgFWV4RSzEykL92WPN8PueiySi0fJrHK28rbolOx9Xv8/MTITU.jpg)
Stori: Jamila Said BIG Boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amesema amekoma kutumia usafiri wa boti kwani ulimfanya akose amani juzikati walipokwenda Zanzibar katika Tamasha la Ziff. Boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Mtitu alisema alipokuwa safarini, boti ilimtoa ushamba baada ya hali ya hewa kumshinda na kutapika sana akiwa humo. “Boti imenitoaje ushamba...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXnk8J7J8XwG-axvNjmO43hYw9XscceZaJNpmJaFFlm5wyzAzRJUVZHIW1fCGWORSqoVIwndpZ37hD*HcQpLTru/kabula.jpg)
JINI KABULA AKOMA KUZAA NJE YA NDOA
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Mwanafunzi aliyekua ana nadi ubikra akoma
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Bashir kusafiri kwenda China
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Azuiliwa kusafiri Syria kujiunga na IS
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Masharti ya kusafiri nje haya hapa
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Wahamiaji zaidi kusafiri kwenda Austria
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Waziri mkuu wa Libya azuiwa kusafiri
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Raia wa China akutwa na nyara akijiandaa kusafiri
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo
Ikiwa tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti kidogo leo Dec 23 2015 katika kituo cha mabasi Ubungo Terminal Dar es salaam mara baada ya baadhi ya abiria kukwama kusafiri kutokana na kukosa […]
The post Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendela stendi ya Ubungo appeared first on TZA_MillardAyo.