Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto ALIBINO ANASAKWA MWANZA , WATU 15 MBARONI

Serikali mkoani Mwanza imesema hakuna kulala hadi mtoto Pendo Emmanuel (Albino) apatikane kufatia tukio la kutekwa kwaek na watu wasio julikana toka tarehe 27.12.2014 katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza na kisha kutoweka naye kwenda kusiko julikana hadi sasa. Mkuu wa Mkoa wa MWanza Mhe Magesa Mulongo, akiongea na wananchi wa kijiji hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo na kuwahusisha wananchi wakijiji hicho pamoja na uongozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALIBINO ANASAKWA MWANZA , WATU 15 MBARONI

 SUNGU SUNGU WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA. WANANCHI WA KIJIJI CHA NDAMI WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA WA MWANZA MAGESA MULONGO HAYUPO HEWANI WAANDISHI WA HABARI SHEILA SEZI NA GRACE CHILONGOLA WALIPOKUWA WAKIONGEA NA MAMA YAKE NA PENDO BW. ALFREDY KAPOLE MWENYEKITI WA ALBINO MKOA WA MWANZA AKIZUNGUMZA KATIKA MKOA HUO. .KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA VALENTINO MULOWOLA ALIPOKUWA AKITOA TAARIFA YA UCHUNGUZI HADI SASA NYUMBANI KWAO NA MTOTO PENDO, MWENYEKITI WA ALBINO MKOA WAMWANZA ALFREDY NA...

 

11 years ago

CloudsFM

WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA

Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao

Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIBINO AKATWA MKONO RUKWA JANA

Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)

Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto

Polisi wanamshikilia mkazi wa Mjimwema Makambako kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri ya miezi mitatu katika Hospitali ya Kibena, Njombe.

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni akituhumiwa kulawiti mtoto

POLISI mkoani Kagera inamshikilia mkazi wa Manispaa ya Bukoba, Jovin Kasuno (22) kwa tuhuma za kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka sita na kumuumiza.

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kumfukia mtoto shimoni

FAIDA Mohammed Salum (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumtupa mtoto mchanga aliyejifungua siku moja tu na kumfukia shimoni eneo la Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke mbaroni kwa kuchinja mtoto

Polisi mkoani Iringa, wanawashikilia watu sita kwa tuhuma tofauti. Watuhumiwa hao ni pamoja na mwanamke mmoja wa Iramba wilayani Mufindi,anayeshikiliwa kwa tuhuma za kumchinja mtoto wake na kumtupa chooni.

 

11 years ago

Mwananchi

Binti mbaroni akituhumiwa kutupa mtoto

Mkazi wa Kijiji cha Namibu wilayani Bunda, Adventina Makongo (17) jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo kujibu shtaka la kutupa mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kichakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani