MUDA WOWOTE MTONI KIJICHI KUTASHEHENI VILIO...
![](http://2.bp.blogspot.com/-jj1ucLnqWOw/VVWhA1YmkTI/AAAAAAAHXZQ/QJhm6KrECWE/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa mti huu ulio katika barabara ya Kijichi, Dar es Salaam, kama inavyoonekana katika picha mbalimbali, ni wazi kuna siku kitalia. Na inaelekea mamlaka zinazohusika ama zimepitiwa au zinachukulia poa tu. Picha zote na Nathan Mpangala. Taswira hizi zinaonesha ni jinsi gani hatari hiyo ilivyo karibu na wananchi
Waendesha magari, bodaboda na waendao kwa miguu inawahusu hii
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uw3kpN6g_RE/ViHjqkBGxsI/AAAAAAAIAfw/2NY0EMy8fS8/s72-c/IMG-20151017-WA0005.jpg)
9 years ago
MichuziMTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
GPLMTONI KIJICHI, MBAGALA WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i7IuGDQLi_Y/VN22IkweWkI/AAAAAAAHDbw/WmNdkzkmyJ4/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
HAJAT KIJAKAZI SALUM KYERULA AFARIKI DUNIA, MSIBA UPO MIKOCHENI VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZIKWA LEO MTONI KIJICHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-i7IuGDQLi_Y/VN22IkweWkI/AAAAAAAHDbw/WmNdkzkmyJ4/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
Mmoja wa waasisi na viongoizi wakongwe wa CCM Hajat Kijakazi Salum Kyerula amefairiki dunia jijini Dar es salaam jana. Taratibu za mazishi zinafanyika mikocheni eneo la Victoria karibu na Oil com pamoja na hospitali ya Kairuki, jijini Dar es salaam. Swala ya maiti itafanyika hapo hapo Mikocheni sambamba na swala ya Ijumaa na baadaye maziko yatafanyika Mtoni Kijichi, kwenye makaburi ya njia panda ya Neruka.
WASIFU WA MAREHEMUHAJAT KIJAKAZI SALUM KYELULA NA RATIBA YA MAZISHI
Hajat KIJAKAZI...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YCZ77stwWkdxQPZb6qjZayCHbxmEF88B3AklR8lufByMsk*ZvkrN1tKGhM5KygPxVLlOgUQtuBH5lb-veZfA*s/aa.jpg?width=650)
PENINA KUPIGWA NDOA MUDA WOWOTE
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Lowassa: Bomu la ajira kwa vijana kulipuka muda wowote
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa sasa rasmi Ukawa,muda wowote kutangazwa mgombea urais
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXltYGJWg0gkh4*vRPFDRi*PzTq*b07HFn4DaJ9j42D0YGZFh6yLwwJRaxW2Bpd8650pZUCL2oAX6wlXuVeEz5p/IMG20140810WA0009.jpg?width=650)
AJALI YA GARI KIJICHI
10 years ago
Habarileo30 Jul
Kijichi kucheza Ligi Kuu Zanzibar
TIMU ya soka ya Kijichi imekuwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja, ambazo msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kushinda 2-1 dhidi ya timu ya Idumu.