Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada tata wapendekezwa Kenya

Nchini Kenya,mswada wa kutatanisha unaopendekeza vijana chini ya miaka 20 kupewa vidonge vya kuzuia mimba bila idhini ya wazazi .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mswada tata wazua vurugu bungeni Kenya

Wabunge wa Kenya wametofautiana pakubwa bungeni kufuatia mjadala mkali kuhusu mswaada tatanishi wa usalama kiasi cha kulazimisha bunge kusitisha kikao kwa muda

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe 16 wapendekezwa bodi ya maji

JUKWAA la watumia maji katika bonde la ziwa Rukwa, limependekeza majina ya wajumbe 16 kutoka ili kuunda bodi mpya itakayofanya kazi kwa miaka mitatu ijayo katika bonde hilo. Majina ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kwaheri Tata Mandela

Karibu watu 4,500 walifika kwenye mazishi hayo ikiwemo familia, jamaa, marafiki na viongozi wa dunia kijijini Qunu ambako Mandela alikulia.

 

10 years ago

GPL

KLABU YA WANAUME TATA

Baadhi ya wanaume hao tata. KLABU inayodaiwa kuwahifadhi wanaume tata imegundulika hivi karibuni maeneo ya Kinondoni jijini Dar karibu na Viwanja vya Leaders. Paparazi wetu aliibaini klabu hiyo baada ya kuwanasa wakifanya pati ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanaume hao aliyejitambulisha kwa jina moja la God ‘God Chocolate’. Mwanaume tata akiwa kwenye pozi. Mwanahabari wetu ambaye alichukua matukio tofauti ukumbini hapo,...

 

10 years ago

GPL

MWANAUME TATA AMCHAFUA KOPA

Stori: Shakoor Jongo MAJANGA! Mwanaume anayedaiwa kuwa na swaga zisizoeleweka, anayejulikana kwa jina moja la Talick, mkazi wa Kinondoni jijini Dar anadaiwa kumchafua Malkia wa Mipasho Bongo, Khadija Omar Kopa kwa kudai kuwa ni mtoto wa kuzaliwa kabisa na muimbaji huyo. Mwanaume anayejulikana kwa jina moja la Talick, anayedai kuwa ni mtoto Khadija Kopa. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja...

 

9 years ago

Raia Mwema

Uwaziri Mkuu ni cheo tata?

WAKATI tukisubiria atangazwe waziri mkuu mpya ni vyema tukajikumbusha chimbuko la cheo hiki kikub

Joseph Magata

 

10 years ago

GPL

KUPA ANASWA NA MWANAUME TATA

Na Richard Bukos
Msanii wa filamu mwenye vituko kibao, Idrisa Makupa ‘Kupa’  juzikati aliwaacha watu midomo wazi baada ya kunaswa akiwa beneti na mwanaume tata maarufu mjini anayefahamika kwa jina la Danny.Wawili hao walibambwa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni jijini Dar kulikokuwa na onesho la mwanamuziki Christian Bella. Msanii wa filamu mwenye vituko kibao, Idrisa Makupa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Dunia yamuaga Tata Mandela

Viongozi, familia na marafiki wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Nelson Mandela katika mazishi yake ya kitaifa katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Cape Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali 10 tata kuhusu dengue

Tangu ugonjwa wa homa ya dengue uibuke mkoani Dar es Salaam na baadaye maeneo mengine ya nchi, wananchi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi yenye utata ambayo sasa yamepata majibu ya wataalamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani