Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada wa petroli wapita

Spika wa Bunge, Anna Makinda.WABUNGE jana walipitisha Muswada wa Sheria ya Petroli wa Mwaka 2015, ambao ni miongoni mwa miswaada ya sekta ya mafuta na gesi iliyokuwa ikipigiwa kelele na wabunge wa upinzani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Muswada Tume ya Walimu wapita

BUNGE limepitisha Muswada wa  Sheria ya Tume ya Walimu ya Mwaka 2015.

Hata hivyo, Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wabunge waliwasilisha marekebisho kutuka mishahara ya walimu ilipwe na tume hiyo, ambayo hayakupitishwa.

Muswada huo ulipitishwa jana bungeni mjini Dodoma. Dk. Hamisi Kigwangalla (Nzega –CCM), aliomba mwongozo wa Spika Anne Makinda, akiomba muswada huo usipite kwa kuwa akidi haikuwa imetimia.

Dk. Kigwangalla alisema kanuni za Bunge haziruhusu muswada...

 

11 years ago

Mwananchi

1,281 wapita mchujo wa kazi Uhamiaji

Watu 1,281 wamepita katika mchujo wa awali kati ya zaidi ya 10,800 waliojitokeza kwenye usaili wa kuwania nafasi 70 za ajira kwenye Idara ya Uhamiaji, kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Uhamiaji.

 

10 years ago

Michuzi

SHIMO HILI NI HATARI KWA WAPITA NJIA

Wakazi wa mtaa wa Togo Kinondoni Jiji Dar es Salaam wakikatiza kando kando ya Shimo kama lionekanavyo pichani,hali ambayo ni hatari  hasa kwa wapita njia

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKALEBELA, LUKUVI NA MGIMWA WAPITA KWENYE KURA ZA MAONI

MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.
Jimbo la Iringa Mjini.
Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni FredrickMwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca...

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi za Mbeya lazima ulishe wapita njia eneo lako

Ama kweli duniani kuna mambo. Sikutarajia kuona gharama kubwa zaidi za harusi kwenye eneo masikini.

 

11 years ago

GPL

AJALI TANDALE; WEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA

Nissan Patrol namba T479 BPJ baada ya kuigonga Bodaboda eneo la Tandale kwa Bonge, Dar jana usiku. Gari hilo mali ya Alex Mutabazi (59) likiwa limevunjwa kioo cha mbele na vibaka wa Tandale kwa Bonge.…

 

10 years ago

Vijimambo

Petroli haishikiki.

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi.
Kuendelea kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani kumeendelea kuongeza makali ya maisha baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kulazimika kuongeza bei elekezi ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kuanzia leo licha ya bidhaa hiyo kushuka bei katika soko la dunia.

Taarifa iliyotolewa na EWURA jijini Dar es Salaam jana ilitaja bei mpya elekezi ya rejareja itakayotumika kuanzia leo Julai 1, 2015 kuwa ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli bei juu

SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...

 

10 years ago

Habarileo

Kodi ya petroli, dizeli juu

Mauzo ya mafuta kabla ya bajeti ya mwaka huu. Kwa mujibu wa bajeti ya mwaka huu mafuta ya taa ndio yatakuwa ghali zaidi kuliko yote.SERIKALI imetangaza kuongeza tozo ya mafuta ya petroli na dizeli ili fedha zitakazopatikana, zikatunishe mfuko wa kusambaza nishati vijijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani