Petroli haishikiki.
Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi.
Kuendelea kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani kumeendelea kuongeza makali ya maisha baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kulazimika kuongeza bei elekezi ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kuanzia leo licha ya bidhaa hiyo kushuka bei katika soko la dunia.
Taarifa iliyotolewa na EWURA jijini Dar es Salaam jana ilitaja bei mpya elekezi ya rejareja itakayotumika kuanzia leo Julai 1, 2015 kuwa ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Chelsea haishikiki Ligi Kuu England
10 years ago
Vijimambo20 Feb
Kwa mpango huu, Yanga itakuwa haishikiki kwa Utajiri
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/katibu-yanga.jpg)
Na. Richard Bakana, Dar Es Salaam
Kwa miaka mingi sasa klabu Kongwe za Simba na Yanga zimekuwa zikiibiwa bila kujua zinapoteza mamilioni ya pesa kila mwaka kupitia uuzwaji wa jezi zenye nembo ya klabu yao (Logo), Lakini kama kweli mpango huu hautaishia midomo tu basi Yanga itakuja kuwa bonge la Timu Tajiri Tanzania kupitia...
10 years ago
Habarileo06 Jul
Muswada wa petroli wapita
WABUNGE jana walipitisha Muswada wa Sheria ya Petroli wa Mwaka 2015, ambao ni miongoni mwa miswaada ya sekta ya mafuta na gesi iliyokuwa ikipigiwa kelele na wabunge wa upinzani.
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Bei ya petroli, dizeli yashuka
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Majeruhi wa moto wa petroli wasimulia
10 years ago
Mwananchi06 May
Bei ya Petroli yazidi kupaa
10 years ago
Habarileo12 Jun
Kodi ya petroli, dizeli juu
SERIKALI imetangaza kuongeza tozo ya mafuta ya petroli na dizeli ili fedha zitakazopatikana, zikatunishe mfuko wa kusambaza nishati vijijini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0R-eXJwlMW5sQOKseL8ClAX2uyEVxfdCP1zgrXetpZP8Z46TQsxNr-JPlTmCSzN711G9ngyFSmstYQJlPBcogcM/mjanee.jpg)
MJANE ALIPULIWA KWA PETROLI
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Mafuta ya petroli bei juu
SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...