Muuaji wa kanisani Charleston ashtakiwa
Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa la kihistoria la Kiafrika katika mji wa Charleston ameshtakiwa na mashtaka tisa ya mauaji pamoja na shtaka moja la kumiliki silaha, polisi wamesema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Polisi wamsaka muuaji wa Charleston
Polisi nchini Marekani wanamtafuta mwanamume mzungu aliyewaua watu tisa waliokuwa wakisali katika kanisa moja na watu weusi katika mji wa Charlston South Carolina.
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Muuaji wa watu tisa kanisani akamatwa
Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la kihistoria mjini Carolina Kusini amekamatwa.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Ibada ya maombolezo Charleston
Mamia ya Waumini wamehudhuria ibada ya maziko ya watu tisa waliouawa katika kanisa moja mjini Charleston
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Misa ya waliouawa yafanyika Charleston
Maelfu ya watu wamehudhuria misa katika mji wa Charleston nchini Marekani kuwakumbuka waamerika tisa weusi waliouawa
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Muuaji ajiua Marekani
Polisi nchini Marekani imesema muuaji wa Waandishi wawili wa habari nchini humo, amefariki dunia baada ya kujijeruhi wa risasi.
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Muuaji wa Meyiwa ni Kitendawili
Polisi nchini Africa Kusini wameanzisha msako dhidi ya mtu aliyempiga risasi kipa na kapteni wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/2BAEDA9000000578-0-image-m-11_1440643472151.jpg)
MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI AJIUA!
Muuaji wa waandishi wawili wa kituo cha TV WDBJ, Vester Lee Flanagan, akitangaza katika kituo hicho kabla ya kufukuzwa kazi. Mtangazaji wa kituo cha  TV WDBJ, Alison Parker, enzi za uhai wake. Mpiga picha, Adam Ward, enzi za uhai wake.…
10 years ago
CloudsFM06 Feb
JB amtaja ‘’muuaji’ wa filamu za Kibongo
‘’Unajua zamani filamu zilikuwa chache sana ndiyo maana kila shabiki alikuwa anaitafuta sana filamu ndiyo maana zilikuwa na thamani lakini sasa hivi...
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Serikali ya Kenya yamtambua muuaji
Kenya imemtambua mmoja ya wapiganaji waliohusika katika mauaji ya chuo kikuu cha Garissa kwamba ni mtoto wa afisa wa serikali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania